Kibinti kina miaka 16 ya kuzaliwa, experience ya miaka 40: HAKISHIKIKI!

Dah! hii inasikitisha imagine kama ni katoto kako ama ni mdogo wako..... mi nadhani hapa na serikali haiko makini na sheria zake maana hawa waliokafuata wangeshitakiwa kwa kubaka.... huu ni ubakaji kabisa.
 
Dah! hii inasikitisha imagine kama ni katoto kako ama ni mdogo wako..... mi nadhani hapa na serikali haiko makini na sheria zake maana hawa waliokafuata wangeshitakiwa kwa kubaka.... huu ni ubakaji kabisa.
na wazazi nao wanaplay part kubwa nafikiri ukimpa malezi mtoto yanayotakiwa na kuhakikisha anahudhuria nyumba za ibada kila mara sidhani kama unaweza patwa na hili
 
sheria inabidi ichukue mkondo wake, huu ni unyawa uliokubuhu!
 
Mambo mengine unashindwa hata la kuongea.....


Yaani we acha tu, ukizingatie vitoto vyetu tulivyozaa ndo vina-approach hiyo miaka, Eeee Mwenye Mungu tunaomba utulindie vibinti vyetu, maana hatujui hapa wa kulaumiwa ni nani? Je ni huyu m-baba anayefuata hivi visichana au ni hivi visichana vinavyokubali kuwa na watu wenye umri wa baba zao. Hapa ni kuzidisha maombi tu na tena maombi yenyewe yasiwe ya wachungaji wale wenye kupenda sadaka zaidi, bali ni sisi wenyewe wazazi tuongee na Baba Muumba wa vyote yaani hivi visichana vyetu na hawa wababa wanao vimendea.
 
Mi wala simlaumu binti ..nyinyi wanaume hamjiulizi? huyo ni kama mtoto wenu, msingemtongoza wala yasingemkuta angejiona bado mdogo, sometimes tujiangalie na sisi..kweli wanaume mtatumalizia watoto.


Kwa kweli hapa sijui wa kulaumiwa ni nani? Maana hivi vitoto vyetu navyo kwa nini vinakubali kukaribiana na hawa wababa!!!!!!!!!!! Yaaani mimi nasikia kuchanganyikiwa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
na wazazi nao wanaplay part kubwa nafikiri ukimpa malezi mtoto yanayotakiwa na kuhakikisha anahudhuria nyumba za ibada kila mara sidhani kama unaweza patwa na hili


Hamna yaani kusema wazazi hapana!!! Kuna mzazi huwa anafurahi mtoto wake kuharibika? BlackBerry ina maana tutaenda na watoto mpaka maofisini, mtoto wako unaweza kufikiri kwamba ni mtoto mzuri kwa kufanya hayo yote, kumlea vizuri hii ni pamoja na kumsomesha shule nzuri, kusali, kumnunulia nguo nzuri, viatu vizuri taja vingine vingi unavyoweza kumfanyia mtoto lakini bado akaharibika, na kuna mtoto mwingine hapati vitu vyote hivyo yaani hapati hata attention ya mzazi ninamaanisha nini mzazi hayuko karibu nae lakini bado anakuwa mtoto mzuri tu. Jamani ili suala la malezi ni wigo mpana mno sijui yaani ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu kwa sana mno kutoka rohoni kuwaombea watoto wetu sisi wenyewe kama binaadamu hatuwezi.
 
ID ya kujificha yet unaogopa kumchana LIVE huyo dogo??? sema mtaa gani na anaitwa nani? it is a National Security matter kwamba utakuwa tracked kama TISS watakuwa interested na wewe
 
Safina hiki ni kilio cha kina mama wengi wa kitanzania, real watoto hufanywa mambo mabaya sana na madingi, inauz sana! Bt VITOTO NAVYO HAVICHAGUI, HAVITULII KABISA!
 
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!
kamanda mkubwa sana huyo! unaweza pata "kontakti" zake nimpe ushauri?
 
ngoja kawachukue kwani hiyo ndiyo fani yake yani kanaendeleza kipaji,lakini kanawafata kenyewe au wanakafata
 
Back
Top Bottom