Kibelaa

Frankly nilikuwa sijawahi kuzitumia pia, though zinaonekana zina nguvu sana! hapa nimeshaanza kufikiria ku-call it a day!! kazi haziendi!
Hizo ni noma SS, wote nilowashuhudia wakitumia ugonjwa uliongezeka mara mbili kisha ndio kupona kunakuja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom