Kibelaa

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nime-fall inlove na hili tangazo all of the sudden!..
NB: SAUTI YAKE NI KAMA YA MWANA JF MMOJA HAPA...GUESS!
 
Nimeshindaaaaaaaaaaaa na a aaaavodaaaaaaaaaaaaaa million kumiiiiiiiiiiiiiii,kibelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Huyo kibela me huwa namfananisha na Bujibuji,ingawa simjui kwa sura wala sauti.
 
vip unamashaka aweza kuwa yeye??au ndo umemtaja kimafumbo sio?ila kweli ile pua inaweza kutoa sauti kama ile!

Rejao akija atasema neno tu hapo, halafu ila yule Mwenzake ni kama BAbu aspirin!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom