Kibaha Secondary kiboko wagomea mock exams

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Wanafunzi wa kibaha sekondari wameonyesha ujasiri wa hali ya juu baada ya kuingia ktk chumba cha mitihani na kukuta maswali ya mitihani ya merudiwa toka necta 2008 na 2009.kibaya zaidi watayarishaji wa mtihani kanda ya mashariki wame copy mpaka maswali ambayo hayaendani na uhalisia ktk somo la civics.mfano katibu mkuu wa africa union ambaye kwa sasa ni mwingine. pia wanajiuliza pesa walizotoa kutayarisha mitihani zimekwenda wapi kama watayarishaji wame copy mitihani.wameona bora wasifanye maana haiwaongezei kiwango chao cha elimu bali kuwadhoofisha.
 
Bado Universities...I hope that move is coming too. Bravo bravo guys...I concur with your move.
 
sasa nani mwalimu kati yao?mi nadhani hii iw fundisho walimu waache uvivu jamani,wao wanadhani wanafundisha taifa la mapopompo?
Dont copy if u cant paste
Bravo vijana!
 
wamefanya jambo la busara, maana kuna wakati unakuta hii mitihani haitungwi bali wanakopi tu ya zamani....
 
good...ujue kucopy sio inshu..lakini unacopy swali hadi swali mpaka mtihani woooote,ni bora ukop frm different past papers,kuliko kucopy pepa flani ya nyuma swali hadi swali.
 
Hii ina maanisha kuwa watunzi wetu wa mitihani nao ni wavivu wa kufikiri,,
Nimeupenda msimamo wa hawa vijana kwenye kudai wanachostahili, siyo bora liende!
 
Hii ina maanisha kuwa watunzi wetu wa mitihani nao ni wavivu wa kufikiri,, <br />
Nimeupenda msimamo wa hawa vijana kwenye kudai wanachostahili, siyo bora liende!
<br />
<br />
walimu wa Kitanzania hawatungi mitihani kbs wanachofanya ni kukopi tu. Hii spirit ingekuwepo vyuoni tungefika mbali sn maana vyuoni mwalimu asiyerejea maswali ni adui.
 
Wakuu kwani watungaji ni akina nani?

Iko hivi...

Kwa kawaida kuna kitu kinaitwa 'syndicate' hii inaundwa na wakuu wa shule. Hawa wanakaa wanaamua mtijhani uwe lini, uchangiwe kiasi gani n.k. Hawa ndio wanaoamua nani atunge mtihani upi, wanaweka pia watu wanaitwa moderators na proof readers. So the money get spent... Kwa kesi ya hawa watu wa Kibaha the thing is deep, something went wrong somewhere with the money!
 
Bravo wavijana. Mijitu ishazoea mitihani maswali yanarudi yale yale. Hata u creative kidogo hakuna. Unanikumbusha Prof Mlambiti SUA alikuwa harudish mitihani coz alikuwa anakopy hadi nukta. Safi sana wavijana.

Chetuntuuuuuuuuuuu kumbe na wewe msomi!!!
 
Msidanganyike. Wadogo wale wanashindana. Wanajua kwamba paper likirudiwa kila mtu atalikamata. Hakuna chochote.
 
Ni kawaida yetu kutoa visingizio,wangetungiwa kama ya F.4 NECTA mwaka jana wangelalamika pia .Huenda pia kuna ajenda ya siri nyuma ya pazia miongoni mwa wakuu wa shule wa hiyo kanda, kwani hata mkuu wao wa shule amewaunga mkono wakati yeye pia anahusika katika mitihani hiyo kwa namna moja au nyingine.
 
kibaha sec school?? Skuli langu hilo, enzi hizo headmaster msaki walikuwepo akina power kazungu akivunja nondo kwa mikono,kuna siku tuligoma kula mikate kutoka bakery ya kwa mathias, tukarudishiwa mikate ya sia tuliyoizoea kutoka NMC far. KSS hatukuendekeza ujinga ujinga au uonevu. Najisikia furaha kwamba hiyo hali bado ipo. Je bado wanavaa shati nyeupe zenye beji ya KSS?
 
swali lililowaacha hoi vijana ni hili hapa.
mwenyekiti wa sasa wa umoja wa afrika ni nani
A) jakaya kikwete
B)Ribort mugabe
C) pohape hambwa wa namibia
Hii copy pate ya hatari maana hapo hakuna jibu asa mwenyyekiti ni zilasi zenawi wa ethipoa, ila wakati wa hili swali yaani 2008 alikua jakaya kikwete, madogo wakaona hii haiwezeakani wakatoka nje
 
dah! sijaamini hiki nachokisoma hapa...vijana wamekuwa na uelewa wa elimu bora wa hali yajuu..safi sana
 
swali lililowaacha hoi vijana ni hili hapa.
mwenyekiti wa sasa wa umoja wa afrika ni nani
A) jakaya kikwete
B)Ribort mugabe
C) pohape hambwa wa namibia
Hii copy pate ya hatari maana hapo hakuna jibu asa mwenyyekiti ni zilasi zenawi wa ethipoa, ila wakati wa hili swali yaani 2008 alikua jakaya kikwete, madogo wakaona hii haiwezeakani wakatoka nje

hapo ndio ubaya wewe, ku copy vitu ambavyo havi exist, ila kwa mitihani kurudiwa ni normal ndio maana ya kuambiwa someni past papers, na changes kidogo kama za hapo juu. ila nadhani aliyecopy alicopy akiwa gizani, si mnajua umeme ni wa mgao?
 
Back
Top Bottom