Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Asee kamanda moshi mawasiliano yakoje sasa? Maana hiyo ya kukukiss ukiendekeza unapigwa invoice ya vocha kwa kuanzia
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu mwanamke anayetaka pesa ..akaolewe na mabenki na m.pesa.
 
Matokeo yake ndo hayo mtu anakuinamisha hata kwenye foleni ya magari anaku....... Just because wewe ni tegemezi
 
Back
Top Bottom