Precisely mkuu!!Unahitaji kozi ndogo sana nenda TSJ wanatoa ile ya Public Speaking.....
Unahitaji kozi ndogo sana nenda TSJ wanatoa ile ya Public Speaking.....
Katika maisha yako ya kawaida
inakupasa uwe ni mtu wa kujiamini, jitahidi sana kuelewa mambo na wala
si kukariri.
Pia jaribu kukaa na watu werevu au kutafuta marafiki ambao ni msaada na
wala sio mzigo kwa mantiki ya mawazo kichwani.
unapokuwa wewe ndiye
muongeaji ni suala dogo sana la kujiambia kwamba kila mtu anakusikiliza
wewe kwa kuwa wewe ndiye unayejua zaidi ya wote walio mbele yako. Hili
litakujenga ni la kisaikolojia zaidi. Pili wakati uantaka kuongea jenga
tabia ya kuwatazama wanaokusikiliza kila mmoja machoni na wawe wamekaa
na wewe umesimama......
Hili la kwamba wewe unajua zaidi ya hao wanaokusikiliza (ni immagination
tu usiibebe kuwa ni fact otherwise utachemka pale ukiulizwa swali
linaloelekea kukukosoa). Unaweza husikubali kukosolewa na hiyo itakuwa
mbaya kuliko. JIAMINI, unaweza........ Sote tulikuwa hivyo hivyo na leo
tunaweza kusimama kuwafundisha hata maprofesa......
punguza virobaaa
Sasa wewe kama
unatetemeka mpaka mbele ya watoto hiyo kazi uliyonayo uliipata bila ya
kufanya interview km ni hivo kwenye interview si ulivaa sasa
pampaz
ha ha ha! kwa bahati kazi yangu sikufanyiwa interview .
basi hyo kazi uliyonayo ni ya kutumia mwili ktk utendaji wake au uliipata kwa kuvua chupi au kutoa 0713......ha ha ha! kwa bahati kazi yangu sikufanyiwa interview .
basi hyo kazi uliyonayo ni
ya kutumia mwili ktk utendaji wake au uliipata kwa kuvua chupi au kutoa
0713......