Hata kama kakuacha, ondoa mawazo ya kujiua na kuua watoto

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi

Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa.
Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili.

Sasa huyo mume NI mshika chaki na mke NI mshika chaki,jamoooon mnanielewaa!

Sasa Kama mnavyojua Tena kuishi wawili lazima mkosane,mnuniane,mgombane,mtukanane,yaani hivyo coz hata majembe hugongana shambani wakati wa kulimaaaa.

Sasa Mambo yakawa meeengi zaidi ni mume ndo mfanya vituko,na dharau kwa mkewe.

Sasa Kuna kitu alimfanyia mkewe cha kumdhalilisha Hadi wazazi wa mwanamke wakamwambia ukirudiana na MUMEO kwa hiki alichokifanya tunakupa radhi.

BAASI yule mwanamke baada ya tukio lile akaenda kupanga yeye,na watoto wake na hausigeli.

Mpoooooo,au mmelalaaaa?

Kila wikendi yule bwana anaenda kuwaona watoto kule alikopanga mtalaka wake,kumbuka Hapo talaka ilishatolewa kwa hiyo ni kuwalea tu watoto Basi.

Narudiii ngoja nilie kwanza
 
NAENDELEA
KIla wikiend yule bwana anaenda kuwaona watoto,na sometimes anawachukua anaenda nao nyumbani kwake,halafu anawarudisha.
Sasa yule mwanamke akapata bwana kwenye jiji ambalo Kuna hospitali ya Taifa hapa hapa Tanzania.Ikawa wikiendi anatoka mkoa anaenda JIJINI watoto anawaacha na hausigeli.
Baada ya muda mrefu,akaanza kuprocess uhamisho ahamie JIJINI kwa huyo bwana yake.
Sasa Kuna wikendi moja yule mwanamke Kama kawa akasafiri,watoto akawaacha na dada wa kazi.
Yule baba wa watoto akaja Kama kawa akawachukua watoto akasepa nao.
Dada wa kazi akakaa kuwasubiri si anajua huwa wanarudishwa.Muda ukapita saaana,watoto hawarudi.Basi yule dada akajiongeza kwenda kuwafata.Anatoka nje ya geti,anakutana na vitoto,yaani havijiwezi vimelegea.
Akawaingiza ndani,lakini kila akiwakagua akaona hawako sawa.Ndo kuwabeba Hadi hospitali kufika kule,vipimo vikafanyika ili wajue tatizo ni nini,.Majibu yakaonyesha kuwa wamenyeshwa sumu.wakapiga simu polisi.
Polisi haoooo,eeeehee binti elezaa,ndo kueleza iLIVYOKUWA.
Maelezo yanatolewa kumbe Nae yule baba wa watoto alikunywa sumu Nae ili afeee.
Sasa kama mnavyojua harakati za kubanwa ndo yule baba anasema niliwanyeshwa wanangu sumu,Tena huyu mdogo alimpa na dawa.ili wafee,na yeye afeeee.Katoto kadogo kanapumulia mashine,ICU.Mtoto mkubwa hayuko vibaya,yule baba Yuko kitandanu na pingu.Akitoka hospitali,jamhuri inampokea.

Yaani analia ooooooh mke WANGU naomba nisameheeee,Mimi nakupenda saaanaaaa.lakini kavalishwa bangili za kiserikali.
Kesi NI hiii hapa,kutaka kuwaua watoto na kutaka KUJIUA.
Mpoooooooo?????
USIMDHURU MTU ETI NAMKOMESHA,AU TUKOSE WOTE.MAANA HUYO BABA KAFANYA JINAI,WATOTO WATAMCHUKIA,NA YULE MAMA WA WATOTO WAKE ATAOLEWA,ATAGONGWA KAMA KAWA,BABA WA WATOTO ATAOZEA JELA.
TAKE CARE,
 
Duh hatari sasa alitaka ajiue kiboya hivyo
 
Kayakanyaga.

Kama anamoenda si angemuomba msamaha.
 
Morogorooooo.... Mitaa ya Kihooooo....nda, vitoto vya kike nasikia nywele ndefu swaaaafi kabisa!

Jamaa atashinda kesi, (akituliza akili na kapesa kakiwepo kidogo) lakini alichofanya sio poa, angejiua tu mwenyewe awahi mbinguni, aache watoto wafaidi matunda ya DIII PIII WELD!
 
Back
Top Bottom