Keyboard ya HP inaboa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
natumia HP Pypeavilion lakini kila nikitypehou maneno yanaingiliana yaani siwezi kutype kwenye straight line without confusion

nisaidieni ni settings au nini?
 
HP ya kichina au??? Je language ya keyboard ni ipi??? Maana wakati mwingine kama una keyboard inayotumia lugha nyingine zaidi ya UK English, huwa zinatabia ya kubadilika hadi ufanye settings.
 
natumia HP Pypeavilion lakini kila nikitypehou maneno yanaingiliana yaani siwezi kutype kwenye straight line without confusion

nisaidieni ni settings au nini?

Haiboi wewe no unaboreka na inawezekana sio tatizo la keybpard

Mikono na vidole vyako na interefe na Touchapd wakati una type ndo maana. unapata hayo matatizo.
Kama unaweza weka hiyo Touchpad off na tumia mouse ya pembeni kama ya kompyuta
 
tatizo liko pale pale

nimeinstall Windows mpya sasa sijui hiyo ndio imeroga au sijui vipi

its really annoying to be honest
 
Sijui unatumia windo gani... Ila kwa kukusaidia tu, nenda kwenye Control Panel kisha angalia au double click Reginal and Language Icon, kisha angalia language set ni ya nchi gani. Click kwenye English United Kingdom.... Then try to type kuangalia kama maandishi yanajichanganya.

2.jpg
 
issue hapa ni kweli nikigusa hii pad ya mouse kwa bahati mbaya basi ujue sentensi itajirudisha nyuma au itajicganganya somehwre

quite annoying really

I think its something to do with hiki kisehemu cha mouse

anyone?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom