Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

581d8d3b0aff274f5135ea85d24aa7d8.jpg
akili zako na ccm wenzako kma za mbwa
Punguza jaziba bro,taratibu tutaelewana tu lakini hata hivyo nauliza huyo mbwa anashangiliwa baada ya kufanya nini cha maana!
 
  • Zitto atakuwa raia wa kwanza duniani kushitakiwa kwa kutoa maoni yake kuhusu uchumi wa nchi yake.
  • Kesi hii itavutia wachumi wengi kushiriki katika mdahalo wa kutafuta ukweli mahakamani badala ya mdahalo huo kuwa wa kijamii.
  • Itakuwa kesi maarufu na ya aina yake duniani.
  • Ushindi wa serikali itakuwa pigo kwa raia kujadiri mstakabari wa taifa lao.
Kwanza kabisa napenda kuwapa salamu wana bodi wote popote mlipo.
Nikirejea kwenye mada baada ya kufukunyua nimegundua kuwa
Kesi ya Zitto:itakuwa ni kesi ya kwanza ya mjadala wa kiuchumi kupelekwa mahakamani iwe Tanzania au dunia kwa ujumla wake, mwenye data tofauti niko tayari kusahihishwa.
Ninaposema hivyo napenda kwanza kutofautisha baina ya kesi za mjadala wa kiuchumi na kesi za migogoro ya kiuchumi.

Kesi za migogoro ya kiuchumi.
Kesi za migogoro ya kiuchumi hizo ni nyingi tu hapa duniani, na hasa ukichukulia kuwa kesi zote za kibiashara pia nazo huangukia upande huo, kwa maana pana ya kuvuna kipato baina ya watu binafsi,makampuni ya kibiashara ya ndani na kimataifa na hata nchi na nchi au nchi na makampuni ya kimataifa.
Mfano halisi hapa kwetu ni kesi Maarufu kama ya Escrow,Acacia nk, kwa ujumla hii yote ni migogoro ya kiuchumi.

Kosa la kujadiri uchumi au kutoa takwimu za kiuchumi.
Hakuna kumbukumbu yoyote ambayo nimefanikiwa kuipata, ambapo raia wa nchi yoyote duniani aliwahi kushitakiwa kwa kosa la kuanzisha mjadala wa kiuchumi nchini mwake iwe kwa kusema uchumi umeanguka,ama kupinga utaratibu wa kuendesha uchumi wa nchi yake,kuja na mbinu mbadala za kuendesha uchumi ama kupinga takwimu zanazotolewa na serikali. Kesi ya namna hiyo haijapata kutokea duniani hii ya zito itakuwa ya kwanza.

Mijadala katika taifa
Mijadala hii huanzia chini kabisa kwa mwananchi wa kawaida na kupanda hadi kwa wanafunzi ama wanavyuo mahali ambako mjadala hupata nguvu, na baadae wanasiasa, wabobezi wa masuala ya kiuchumi na wasomi wengine katika nyanja mbalimbali hujadili kwa pamoja ili kupata uelewa wa pamoja kwa kufanya tafiti au kurejea tafiti kwa nia ya kupata ufumbuzi wa tatizo liloibuliwa na jamii.
Kesi ya Zitto:itakuwa ni kesi ya kwanza ya mjadala wa kiuchumi kupelekwa mahakamani duniani.
Duniani kote mijadala hii huwa ni mijadala huru haina refa,haina mwisho na wala hakuna sheria zinazotawala mijadala ya kijamii, hii mijadala hulindwa na katiba chini ya uhuru wa maoni.
Moja ya sifa za taifa lililo hai ni jinsi gani wananchi wa taifa hilo wanashiriki katika mijadara inayohusu maisha yao.
Taifa lolote ambalo wananchi wake wako kimya hawashiriki kwa namna moja ama nyingine kujadili ama kutoa maoni kuhusu mambo yanayogusa maisha yao hilo ni taifa mfu.
Kwa maana nyingine chama au mtu yeyote anaelenga kulinyamazisha taifa lisijadiri mstakabali wake kwa vitisho,ama kutunga sheria kali zenye lengo la kuua mijadala hiyo ni muuwaji wa taifa.

Kwa kuzingatia hayo,ndio maana mataifa mengi duniani uhuru wa maoni umelindwa na katiba ili kuzuia sheria zingine kutungwa kwa nia ya kukandamiza mijadala ya kitaifa na hivyo kuua uhai wa kifikra katika mataifa mbalimbali.

Kwa nini sasa Tanzania.
Kati ya mwaka 2010 hadi 2015
  • Vyama vya upinzani vilianza kupata nguvu kubwa baada ya kuitumia vizuri nguvu ya ushawishi kupitia takwimu mbalimbali za serikali na teknolojia hivyo kufanikiwa kuanzisha mijadara ya kitaifa,kitu ambacho kiliwafanya waeleweke vizuri kwa wananchi,hasa kwa kuutumia vizuri mwanya wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa ujumla.
  • Upande wa serikali haukuwa umejiandaa na mabadiriko hayo ya utumizi wa takwimu na teknolojia kuleta mapinduzi ya mijadala na fikra katika taifa jambo ambalo lilisababisha kwa mala ya kwanza CCM kuwa inakataliwa hadharani na kuzomewa kwa viongozi pale walipokuwa wakienda na majibu yasiyo jitosheleza,mipasho na yasiyo kuwa na data za kutosha ambazo tayari wananchi walikuwa nazo kutokana na mijadala ya kijamii.
Kwa nini Serikali na CCM hawapendi mijadala ya kijamii.

Sababu za msingi zinafanana sana na sababu zilizotajwa hapo awali lakini pia zipo sababu zingine zilizoandamana na hizo
  • Kwa asili CCM imekuwa ikitumia uongo kama njia ya kuwarubuni wananchi kuwa nchi inaendelea au imeendelea katika mambo mbalimbali,kubadilika kwa teknolojia kulisababisha udhibiti wa kupashana habali kuwa mgumu, hii ilipelekea wananchi kuonekana kuwa well informed kuliko viongozi si kwa sababu viongozi wetu walikuwa wajinga hapana, bali mazoea ya kuongoza taifa la watu wasiokuwa na mijadala na kuhoji,kwa maana nyingine taifa lilifufuka na kuwa hai na viongozi walibaini wakiwa wamechelewa.
  • Ili kuiokoa CCM na anguko lilikuwa dhahili hatua ilibidi zichukuliwe kuilinda ili isikabiliwe na janga lilikuwa mbele yake.
  • Miswada mitatu ya sheria mbovu na kandamizi ilipelekwa bungeni na hatua zingine kadhaa zilichukuliwa ili kusaidia kupunguza makali.
  1. Sheria ya vyombo vya habari
  2. Sheria ya takwimu
  3. Sheria ya mitandao
  4. Kuzuiwa kwa bunge live
  5. Fungia fungia ya vyombo vya habari na vitisho endelevu.
Hasara gani kama taifa tutazipata.

  • Sio rahisi kwa mwananchi wa kawaida kupata takwimu kutoka taasisi za umma pale atakapozihitaji
  • Serikali imetangaza kujiondoa kwenye mradi wa Open Gov hivyo kuendeleza dhana ya usiri.
  • Kufa kwa mijadala ya kijamii ni faraja kubwa kwa CCM na serikali yake kwani ni jambo linaloihakikishia kuendelea kutawala bila misukosuko.
  • Taifa litarejea usingizini kama awali na watu watawale bila kupigiwa yowe
  • Maendeleo katika taifa lisilokuwa na mijadala huwa sio endelevu kwa kuwa huwa ni maamuzi ya watu wachache
  • Huwa ni kazi ngumu kupambana na wizi ama ufisadi katika taifa lililozibwa mdomo kumbuka hakuna kashifa hata moja ya kifisadi iliwahi kuibuliwa na serikali hapa nchini zote ni matokeo ya mijadala.
Mwisho.
Suala la zitto
halikuwa suala la kupeleka mahakamani! Lilikuwa ni suala la serikali na CCM wake kuja mbele na takwimu sahihi na kumwaga hoja au kujibu hoja ili kwa pamoja tumuone zito kachemsha,kitendo cha kumpeleka zito mahakamani ni kitendo cha uoga,kitendo cha kuzuia taifa kuongea ,kujadili na baadae kupata mwafaka wa kitaifa kuhusu hali ya uchumi wa nchi yetu.
Kuhusu kesi
Ipelekeni itakuwa moja ya kesi mashuhuri duniani ambapo taifa linampeleka raia wake mahakamani kisa kachakata data za benki kuu vibaya na kusema uchumi unadorola,Mungu wangu mimi simo,kesi hii wachumi watakutana mahakamani kila upande ukiwa na hoja zake kuthibitisha wanaloliamini. mahakama haitafungamanishwa na data za takwimu za taifa Zitto anadai zimepikwa haziamini atatakiwa kuthibitisha tu,
Kwa mawazo yangu Zitto hatakuwa peke yake katika hili wapo wasomi wengi watakuwa nae bega kwa bega.
Mwito wangu hii sio kesi dhidi ya Zitto ni kesi dhidi ya uhalari wa raia kuihoji serikali.
Tukiruhusu hili shambulizi la serikali tumekwisha Zitto aungwe mkono na kila raia anaeitakia nchi yetu mema dhidi ya wachache kutaka kulinda madaraka yao kwa njia yoyoye ile bila kuzingatia maslahi ya wote kama taifa.
Je uko tayari kuishi kwenye taifa mfu lisilokuwa na mijadala?
mimi simo siitaki hii aibu

Mkuu jitahidi matumizi ya R na L na uandishi sahihi wa majina ya watu.... Jadiri, mijadara, halari, zito etc, badala ya jadili, mijadala, halali, Zitto etc
 
Kama hujui uliza. Soma Statistical act ya Canada uone na adhabu zake: Statistics Act soma na ya India Collection of Statistics Act, 1953 | Ministry of Statistics and Program Implementation | Government Of India tafuta na ya Marekani google acha uvivu[sorry nimechukua muda kukujibu nilikuwa nazisoma hizi ACT hasa ya India ambacho kipengele cha 10 na 11 vinaelezea moja ya adhabu unapokuwa umekiuka hizi acts,ila hakuna kipengele kinachoipa mamlaka hii kuhodhi takwimu ,na pia elewa kuna kipengele kinachomruhusu mtu kuadi kupa habari au takwimu kutoka serikalini,kitendo cha serikali yangu kutoa vitisho kuhusiana na takwimu hizi ambazo zinapatikana kilikuwa sio haki,elewa kunapotokea vacuum ya informations ni haki ya mtu kupata .ila ningependa tujadili more kuhusu hizi acts,ninazisoma za Canada now,then Namibia,botswana,Kenya na bila shaka za kwetu.
 
  • Zitto atakuwa raia wa kwanza duniani kushitakiwa kwa kutoa maoni yake kuhusu uchumi wa nchi yake.
  • Kesi hii itavutia wachumi wengi kushiriki katika mdahalo wa kutafuta ukweli mahakamani badala ya mdahalo huo kuwa wa kijamii.
  • Itakuwa kesi maarufu na ya aina yake duniani.
  • Ushindi wa serikali itakuwa pigo kwa raia kujadiri mstakabari wa taifa lao.
Kwanza kabisa napenda kuwapa salamu wana bodi wote popote mlipo.
Nikirejea kwenye mada baada ya kufukunyua nimegundua kuwa
Kesi ya Zitto:itakuwa ni kesi ya kwanza ya mjadala wa kiuchumi kupelekwa mahakamani iwe Tanzania au dunia kwa ujumla wake, mwenye data tofauti niko tayari kusahihishwa.
Ninaposema hivyo napenda kwanza kutofautisha baina ya kesi za mjadala wa kiuchumi na kesi za migogoro ya kiuchumi.

Kesi za migogoro ya kiuchumi.
Kesi za migogoro ya kiuchumi hizo ni nyingi tu hapa duniani, na hasa ukichukulia kuwa kesi zote za kibiashara pia nazo huangukia upande huo, kwa maana pana ya kuvuna kipato baina ya watu binafsi,makampuni ya kibiashara ya ndani na kimataifa na hata nchi na nchi au nchi na makampuni ya kimataifa.
Mfano halisi hapa kwetu ni kesi Maarufu kama ya Escrow,Acacia nk, kwa ujumla hii yote ni migogoro ya kiuchumi.

Kosa la kujadiri uchumi au kutoa takwimu za kiuchumi.
Hakuna kumbukumbu yoyote ambayo nimefanikiwa kuipata, ambapo raia wa nchi yoyote duniani aliwahi kushitakiwa kwa kosa la kuanzisha mjadala wa kiuchumi nchini mwake iwe kwa kusema uchumi umeanguka,ama kupinga utaratibu wa kuendesha uchumi wa nchi yake,kuja na mbinu mbadala za kuendesha uchumi ama kupinga takwimu zanazotolewa na serikali. Kesi ya namna hiyo haijapata kutokea duniani hii ya zito itakuwa ya kwanza.

Mijadala katika taifa
Mijadala hii huanzia chini kabisa kwa mwananchi wa kawaida na kupanda hadi kwa wanafunzi ama wanavyuo mahali ambako mjadala hupata nguvu, na baadae wanasiasa, wabobezi wa masuala ya kiuchumi na wasomi wengine katika nyanja mbalimbali hujadili kwa pamoja ili kupata uelewa wa pamoja kwa kufanya tafiti au kurejea tafiti kwa nia ya kupata ufumbuzi wa tatizo liloibuliwa na jamii.
Kesi ya Zitto:itakuwa ni kesi ya kwanza ya mjadala wa kiuchumi kupelekwa mahakamani duniani.
Duniani kote mijadala hii huwa ni mijadala huru haina refa,haina mwisho na wala hakuna sheria zinazotawala mijadala ya kijamii, hii mijadala hulindwa na katiba chini ya uhuru wa maoni.
Moja ya sifa za taifa lililo hai ni jinsi gani wananchi wa taifa hilo wanashiriki katika mijadara inayohusu maisha yao.
Taifa lolote ambalo wananchi wake wako kimya hawashiriki kwa namna moja ama nyingine kujadili ama kutoa maoni kuhusu mambo yanayogusa maisha yao hilo ni taifa mfu.
Kwa maana nyingine chama au mtu yeyote anaelenga kulinyamazisha taifa lisijadiri mstakabali wake kwa vitisho,ama kutunga sheria kali zenye lengo la kuua mijadala hiyo ni muuwaji wa taifa.

Kwa kuzingatia hayo,ndio maana mataifa mengi duniani uhuru wa maoni umelindwa na katiba ili kuzuia sheria zingine kutungwa kwa nia ya kukandamiza mijadala ya kitaifa na hivyo kuua uhai wa kifikra katika mataifa mbalimbali.

Kwa nini sasa Tanzania.
Kati ya mwaka 2010 hadi 2015
  • Vyama vya upinzani vilianza kupata nguvu kubwa baada ya kuitumia vizuri nguvu ya ushawishi kupitia takwimu mbalimbali za serikali na teknolojia hivyo kufanikiwa kuanzisha mijadara ya kitaifa,kitu ambacho kiliwafanya waeleweke vizuri kwa wananchi,hasa kwa kuutumia vizuri mwanya wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa ujumla.
  • Upande wa serikali haukuwa umejiandaa na mabadiriko hayo ya utumizi wa takwimu na teknolojia kuleta mapinduzi ya mijadala na fikra katika taifa jambo ambalo lilisababisha kwa mala ya kwanza CCM kuwa inakataliwa hadharani na kuzomewa kwa viongozi pale walipokuwa wakienda na majibu yasiyo jitosheleza,mipasho na yasiyo kuwa na data za kutosha ambazo tayari wananchi walikuwa nazo kutokana na mijadala ya kijamii.
Kwa nini Serikali na CCM hawapendi mijadala ya kijamii.

Sababu za msingi zinafanana sana na sababu zilizotajwa hapo awali lakini pia zipo sababu zingine zilizoandamana na hizo
  • Kwa asili CCM imekuwa ikitumia uongo kama njia ya kuwarubuni wananchi kuwa nchi inaendelea au imeendelea katika mambo mbalimbali,kubadilika kwa teknolojia kulisababisha udhibiti wa kupashana habali kuwa mgumu, hii ilipelekea wananchi kuonekana kuwa well informed kuliko viongozi si kwa sababu viongozi wetu walikuwa wajinga hapana, bali mazoea ya kuongoza taifa la watu wasiokuwa na mijadala na kuhoji,kwa maana nyingine taifa lilifufuka na kuwa hai na viongozi walibaini wakiwa wamechelewa.
  • Ili kuiokoa CCM na anguko lilikuwa dhahili hatua ilibidi zichukuliwe kuilinda ili isikabiliwe na janga lilikuwa mbele yake.
  • Miswada mitatu ya sheria mbovu na kandamizi ilipelekwa bungeni na hatua zingine kadhaa zilichukuliwa ili kusaidia kupunguza makali.
  1. Sheria ya vyombo vya habari
  2. Sheria ya takwimu
  3. Sheria ya mitandao
  4. Kuzuiwa kwa bunge live
  5. Fungia fungia ya vyombo vya habari na vitisho endelevu.
Hasara gani kama taifa tutazipata.

  • Sio rahisi kwa mwananchi wa kawaida kupata takwimu kutoka taasisi za umma pale atakapozihitaji
  • Serikali imetangaza kujiondoa kwenye mradi wa Open Gov hivyo kuendeleza dhana ya usiri.
  • Kufa kwa mijadala ya kijamii ni faraja kubwa kwa CCM na serikali yake kwani ni jambo linaloihakikishia kuendelea kutawala bila misukosuko.
  • Taifa litarejea usingizini kama awali na watu watawale bila kupigiwa yowe
  • Maendeleo katika taifa lisilokuwa na mijadala huwa sio endelevu kwa kuwa huwa ni maamuzi ya watu wachache
  • Huwa ni kazi ngumu kupambana na wizi ama ufisadi katika taifa lililozibwa mdomo kumbuka hakuna kashifa hata moja ya kifisadi iliwahi kuibuliwa na serikali hapa nchini zote ni matokeo ya mijadala.
Mwisho.
Suala la zitto
halikuwa suala la kupeleka mahakamani! Lilikuwa ni suala la serikali na CCM wake kuja mbele na takwimu sahihi na kumwaga hoja au kujibu hoja ili kwa pamoja tumuone zito kachemsha,kitendo cha kumpeleka zito mahakamani ni kitendo cha uoga,kitendo cha kuzuia taifa kuongea ,kujadili na baadae kupata mwafaka wa kitaifa kuhusu hali ya uchumi wa nchi yetu.
Kuhusu kesi
Ipelekeni itakuwa moja ya kesi mashuhuri duniani ambapo taifa linampeleka raia wake mahakamani kisa kachakata data za benki kuu vibaya na kusema uchumi unadorola,Mungu wangu mimi simo,kesi hii wachumi watakutana mahakamani kila upande ukiwa na hoja zake kuthibitisha wanaloliamini. mahakama haitafungamanishwa na data za takwimu za taifa Zitto anadai zimepikwa haziamini atatakiwa kuthibitisha tu,
Kwa mawazo yangu Zitto hatakuwa peke yake katika hili wapo wasomi wengi watakuwa nae bega kwa bega.
Mwito wangu hii sio kesi dhidi ya Zitto ni kesi dhidi ya uhalari wa raia kuihoji serikali.
Tukiruhusu hili shambulizi la serikali tumekwisha Zitto aungwe mkono na kila raia anaeitakia nchi yetu mema dhidi ya wachache kutaka kulinda madaraka yao kwa njia yoyoye ile bila kuzingatia maslahi ya wote kama taifa.
Je uko tayari kuishi kwenye taifa mfu lisilokuwa na mijadala?
mimi simo siitaki hii aibu
Nilishasema humu na narudia kusema kwamba:
Three of the HALLMARKS of BAD GOVERNANCE:
1. AMBIGUITY
2. ARBITRARINESS
3. CAPRICIOUSNESS
 
Back
Top Bottom