Elections 2010 Kesi ya viongozi wa Chadema kutajwa leo Mahakama ya Arusha

Kagemro

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
1,433
633
Ndugu zangu kutokana na kumbukumbu zangu leo ni siku ya kesi ya viongozi wetu huko Arusha,kwa taarifa niliyonayo watu wengi hivi sasa wanaelekea mahakamani kusikiliza mashitaka ya viongozi wetu.

Hasa kukiwa na tetesi kuwa inawezekana wakasomewa mashtaka mapya hivi leo,tafadhali mlioko Arusha tunaomba taarifa.
 
Back
Top Bottom