Kapilipoint
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 381
- 343
Wadau naomba kujua historia ya "Uncle Tom " Thomas Rugakingira aliyekuwa kiongozi wa waliotaka kumpindua Hayati Mwalimu NYERERE MIAKA ya 70
SafiTafuta kitabu kinaitwa "Kesi ya Uhaini" cha Mnenge Suluja,au magazeti ya Mfanyakazi ya miaka ya themanini, wameandika mpaka maelezo ya mahakamani utaona wakili Muccadam Lakha alivyowachachafya muendesha mashitaka na mashahidi wa upande wa serikali.
Pia kuna nyuzi tushajadili hap.
Soma Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983
Ni Pius Lugangira.Wadau naomba kujua historia ya "Uncle Tom " Thomas Rugakingira aliyekuwa kiongozi wa waliotaka kumpindua Hayati Mwalimu NYERERE MIAKA ya 70
Sio miaka ywnsabinindogo wewe . In miaka ya 80Wadau naomba kujua historia ya "Uncle Tom " Thomas Rugakingira aliyekuwa kiongozi wa waliotaka kumpindua Hayati Mwalimu NYERERE MIAKA ya 70