Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea

Duh hivi ni kwa nini huyo mhe. Jaji asimalize huu upuuzii Lisu akamsumbue Welema bungeni jamaa karidhika kweli sikuhizi
 
Wanabodi mbona wakina rejao na ritz kwenye habari Kama hii hawa comment? Lakini kwenye thread za udaku Kama ya tumtemeke wanaparamia Kama pilau la hitma.
 
WAKUU MI NINA WASIWASI HUENDA DHULUMA IKAFANYIKA KAMA KWA LEMA, MAANA Mh. LISSU AMEWEKEWA MAWAKILI SABA (7) wa MAGAMBA 1 NA WA SIRIKALI 6 MIDUME 5 NA DEMU 1.
 
Mkuu wala usihofu,kama Lissu anaweza mgaragaza wakili wao mkuu(mwanasheria mkuu wa serikali) na wabunge wote wa CCM (ambao ndani yake wako wanasheria makumi kwa idadi) itakuwa hao ambao hata kesi yao wameshindwa kuifrem tokea awali? dhuluma hata ikifanyika lakini kesi imeshaonekana kuwa haina mashiko tayari.
 
WAKUU MI NINA WASIWASI HUENDA DHULUMA IKAFANYIKA KAMA KWA LEMA, MAANA Mh. LISSU AMEWEKEWA MAWAKILI SABA (7) wa MAGAMBA 1 NA WA SIRIKALI 6 MIDUME 5 NA DEMU 1.

mkuu usiwe na shaka, huo wingi wao sio hoja! Issue ni kwamba wamepangaje hoja zao kumshawishi Jaji! Pamoja na hayo akishindwa kesi ataruhusiwa kugombea kwa kuwa hakukuwa na suala la rushwa (I hope Jaji amejifunza kutokana na Kesi ya Lema)!
 
hivi ukiwa mbunge huwezi kuomba kesi ipigwe tarehe mpaka bunge lipite?hawa magamba wanaweza kuwaset mahakimu ili kesi za makamanda zisikilizwe kipindi cha bunge ili.wapitishe ***** wao bila kipingamizi
 
Kesi za akina Chenge na Mramba labda wanaweza kufanya hivyo!
 
ISANGO anaumwa mkuu ndoo maana hatuna Up dates za maelezo ya kamanda wetu na wezi wa Magamba hapa jamvini
Kwa mujib wa Isango hali yake ina imalika kila dk hope atakuwa hewan next time kutujuza zaidi juu ya kesi hiyo wakati mwingine. pa1 sana wana jf wote. peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrr.
 
mkuu usiwe na shaka, huo wingi wao sio hoja! Issue ni kwamba wamepangaje hoja zao kumshawishi Jaji! Pamoja na hayo akishindwa kesi ataruhusiwa kugombea kwa kuwa hakukuwa na suala la rushwa (I hope Jaji amejifunza kutokana na Kesi ya Lema)!

Mkuu wanadai aliwahonga mawakala wa vyama vyote isipokuwa ccm juice, maji na chakula.
 
Back
Top Bottom