Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea

Capitalist

Senior Member
Feb 3, 2011
164
27
Mh. Lissu aendelea kuwaburuza magamba wazembe mahakamani, leo alikuwa anaelezea ushahidi wa magamba ulivyojikanganya, kesi inaendelea saa 8 mchana.
 
Kikubwa wanachotaka ni kwamba asiwe Bungeni mda huu maana Tundu Lisu ni mmoja wa wabunge waliotufumbua macho Watanzania kwamba Bungeni kuna vilaza wa CCM zaidi ya 90%
 
Kuliko Lissu awe Mbunge ni heri Slaa aukwae URAISI
Mnaikumbuka iyo statement?
 
Kesi ya kitoto kama nini tunammisi sana Lisu Bungeni,hata muswaada wa juzi usingepita na upuuzi wote ule,naona Werema ana kula na kushiba kipindi hiki!
 
Kuliko Lissu awe Mbunge ni heri Slaa aukwae URAISI
Mnaikumbuka iyo statement?


Aliimwaga mkulu wakati wa kampeni akiwaomba CCM Singida wafanye yote wawezayo ilimradi wazuie Jembe hilo lisiingie mjengoni. Lol!
 
Kesi ya kitoto kama nini tunammisi sana Lisu Bungeni,hata muswaada wa juzi usingepita na upuuzi wote ule,naona Werema ana kula na kushiba kipindi hiki!

Kazi ya kuwafungua wa tz imeshafanywa kuwafunga tena haiwezekani magamba bora waachane na lissu waje kuomba msamaha kwa wananchi kwa makosa waliyofanya. Kuhangaika na lissu ni sawa na kumfukuza kibaka aliyekuibia mbuzi mmoja ukaanza kumkimbiza kwa kuwaacha mbuzi 99 porini
 
Mh.LISSU NDIO KAFUNGA KUCHAMBUA USHAHIDI ULIOTOLEWA MAHAKAMANI HIVI SASA , SASA ANAANZA WAKILI WA SERIKALI KUTETEA UPUUZI WAO.
 
Tunangoja updates wakuu!! Naona this time Werema anjinafasi kinoma...

Lakini they say 'Chenge outshines Werema'

Dizaini kama wote ni vilaza na wana mavichwa mazito sana!!

Tunamkumbuka Lissu!!
 
Sango leo wapi? maana jembe hili huwa anaspeed ya ajabu, ananakili yoye ya mahakamani
 
Back
Top Bottom