Kesi ya Tundu Lissu kule Tarime vipi?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wakubwa wote shalom kwa mpigo.Kuna siku mtu makini sana kule Bungeni ndugu Lissu alichaniwa nguo na kutupwa korokoroni kule Tarime akiwa anatenda haki.Alifikishwa Mahakamani na kesi ikawa inaunguruma je iliisha je ile kesi jamani kuna mwenye taarifa?
 
Ushahidi haupo au inakuwaje?Au mahakama nayo inaleta siasa ?Si alikamatwa kwenye tukio siku zile sasa why kutajwa tu?
 
Magamba wamezidiwa kesi kiasi kwamba wamechoka na hawana time tena na hao wapiganaji. Wee wapoteze viti vya ubunge, wanachama wao wanazolewa na M4C huku maisha bora hayaonekani kwa watu zaidi ya milioni 40 (kasoro kwao tu), bado wawe na muda wa kesi za Lissu? Waacheni jamani wapumue kwa muda huu kidogo uliobakia ili ikifika 2015 wakapumzike kwa amani baada ya kutuibia vya kutosha!
 
kesi ile inasemekana polisi ndio waliokuwa tena walalamikaji pamoja na wao kuwa waliuwa watu na pamoja na kuwa wao walimdhalilisha mbunge sasa mahakama ilitupilia mbali kesi hiyo mapema saana hata hearing haikwenda
 
Back
Top Bottom