Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Kikwete,ridhwan,policcm kwishneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!
Chezea Dr wewe,anatishawakuu kama title inavyojieleza hapo juu kuna wakati dr alieleza kushangazwa na utajiri wa ghafla wa riz na kesho yake riz akan'gaka kwenye tv kuwa dr mzushi na akampa siku saba akanushe kabla ya kumburuta mahakamani siku iliyofuata DR akajibu mapigo kuwa alishawahi kumtaja dingi pale muembe yanga temeke kwenye orodha ya mafisadi (list of shame) naye alihahidi kumpeleka mahakamani wakati huo akashindwa kwa hiyo riz asipoteze muda awahi uko mahakamani je hii tamthilia iliishaje? riz alienda mahakamani? kama hajaenda nini kimemtisha? au kulikuwa na ukweli?
​NAWASILISHA
Kesi ipo mahakaman na washtakiwa ni Dkt na mchungaji mtikila. Ila mchng amemkataa Jaji anaesikiliza kesi, pia amesema ajaitwa mahakamani na hata akiitwa jaji abadirishwe asie anaetoka hapa nchini.