Kesi ya Ridhiwani Kikwete dhidi ya Dr. Slaa

wakuu kama title inavyojieleza hapo juu kuna wakati dr alieleza kushangazwa na utajiri wa ghafla wa riz na kesho yake riz akan'gaka kwenye tv kuwa dr mzushi na akampa siku saba akanushe kabla ya kumburuta mahakamani siku iliyofuata DR akajibu mapigo kuwa alishawahi kumtaja dingi pale muembe yanga temeke kwenye orodha ya mafisadi (list of shame) naye alihahidi kumpeleka mahakamani wakati huo akashindwa kwa hiyo riz asipoteze muda awahi uko mahakamani je hii tamthilia iliishaje? riz alienda mahakamani? kama hajaenda nini kimemtisha? au kulikuwa na ukweli?

​NAWASILISHA
Chezea Dr wewe,anatisha
 
Kesi ipo mahakaman na washtakiwa ni Dkt na mchungaji mtikila. Ila mchng amemkataa Jaji anaesikiliza kesi, pia amesema ajaitwa mahakamani na hata akiitwa jaji abadirishwe asie anaetoka hapa nchini.

Vipi kesi hii, mwenye maendeleo atu-update please.
 
Inashangaza kweli, pamoja na upendeleo wote Prince anaoupata bado anakwenda Mahakamani kumshitaki kiongozi wa Chama Cha Upinzani, Sijawahi kuona kitu kama hicho duniani. Nimeishi Nchi mbalimbali sijawahi kuona Mtoto wa Rais kumshitaki Kiongozi wa Upinzani Mahakamani.

Hata kule kwa Mugabe, haijatokea Prince baba yake ana miaka 2 na 1/2 kama Rais; atakwenda wapi baada ya hapo? Nchi nyingi hazitamchukua Sababu kama amechota pesa, Utawala wa Rais Mpya utazidai hizo pesa hakumbuki President Ibrahim Babangida na wenzake pesa zao Swiss Bank na UK na Majumba yalirudishwa kwa Wananchi wa Nigeria?

Angejiendea Shule na Kukaa Kimya kama Watoto wa Marais waliomtangulia Baba yake, Urais Miaka kumi na Ndege sio Maisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom