Kesi ya Bilionea Msuya: Licha ya mateso ya Polisi bado mshitakiwa akana kuwa na ukaribu na Chussa

Jana nlikuepo court watuhumiwa wamekata tamaa,sasa hivi ni utetezi wao binafsi ili kila mtu ajinasue peke yake..leo dreva wa sharifu amesema hamjui sharifu na cku ya mauaji alikua babati

Duh aisee hii ngoma ya moto bado. jamaa wapo ndani tokea 2013. Lazima wamechoka aisee. Kwa maono yako kama Chusa hana kesi na Sharif kakataa ushahidi na dereva anamkataa Sharif.
NANI SASA KAFANYA TUKIO??
 
Wajuvi wa mambo mtujuze.

Huyu bwana Chusa ni nani? Mbona ametajwa na kila aliyetoa ushahidi lakini hayupo miongoni mwa washitakiwa. Huyu bwana ni nani? Alikuwa na mahusiano gani na Msuya na kwanini Msuya aliuawa?

Nawasilisha.
Huyo chusa ni mfanyabiashara wa madini alikua na ugomvi na marehemu wakuzulumiana mawe na marehemu alikua akichukua mzigo harudi na hela ikawauma ndio akafanyiwa ivo kiujumla alikwa mzulumati acording to radio mbao
 
Hii kesi ina utatanishi sana, kama Chusa na Sharifu wamehusishwa inakuaje Kaburu hausishwi wakati ni marafiki wakubwa na mwanzo Sharifu alikiru Kaburu anajua mpango mzima?
Hii ni vita ya watu wa mawe, kuna watu wanafaidika wakati wengine wakinyea ndoo.
 
Duh aisee hii ngoma ya moto bado. jamaa wapo ndani tokea 2013. Lazima wamechoka aisee. Kwa maono yako kama Chusa hana kesi na Sharif kakataa ushahidi na dereva anamkataa Sharif.
NANI SASA KAFANYA TUKIO??
Chusa hayupo kwenye hiyo case,mauaji yote yamefanywa na sharifu ndio mwenye case
 
huyo karimu ukimuangalia tu kwenye picha usoni anakesi ya kujibu, huyo sharifu kwa nini anakesi ya mauaji halaf bd anavaa t-shrit nyekundu? Ana mpng gan na jaji? na huyo majesh nae kwa nini ajiite majesh? Hiyo nayo ni kesi ya kujibu. Nikipewa mimi hio kesi naibadilisha juju kwa juu inakua hv "mmeua watu wa ngap mpk sasa?" na "mnafikiria kumuua nan tena?" na ninaondoa kipengele cha uhuru wa kukiri au kutokiri kosa(mana mienendo yao tu wameshakiri) naweka cha idadi ya waliowaua na wanaofkiria ku waua. Halaf m mwenyewe ndo hakimu/jaji, wakili wa pande zote, karan yan kada zote nachukua mimi nawabakizia kesi yao tu.
 
Hii case toka mwanzo walikua wanataka chusa wamuingize kwa vile ndgu wa marehemu ndio walikua wanamtaja,upelelezi wa police ulionyesha sharifu hakuwahi kwenda magereza au hosp ya manyara kumuona chusa ndio mana case ikawaangukia wahusika tu
Huyu Chusa ni wa Arusha Kwa mrefu au?
 
Huyo chusa ni mfanyabiashara wa madini alikua na ugomvi na marehemu wakuzulumiana mawe na marehemu alikua akichukua mzigo harudi na hela ikawauma ndio akafanyiwa ivo kiujumla alikwa mzulumati acording to radio mbao
Hizo ni story za redio mbao,chusa ni mchimbaji yani appolo kwa lugha yetu huko,marehemu alikua broker au gemstone dealer,jiulize kma walikua na ugomvi sharifu alitokea wapi kubeba ugomvi ambao umekuja kumpa case ya mauaji
 
Maneno ni mengi ila ni kuingiliana kwenye biashara,mana wanunuzi wa madini bila kua na network kupata riziki ni ngumu sana,marehemu alikua na network kubwa nae sharifu alikua anakuja juu kwa kasi sana
kama ni kweli walitenda, watakuwa wanajuta kwa walichokifanya sababu wamekaa ndani muda mrefu na hawakutarajia kama wangefika stage hii.
 
Wakati mwingine natamani hawa majaji wawatuhumu polisi kwa kesi kama hizi. Huyo Chilumba anatakiwa ageuziwe kibao, anajua au anahusika na mauaji hayo.
 
Back
Top Bottom