Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,577
44,814
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesu ya babu seya.nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika.Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Andika vizuri

Pia Punguza Ulevi inaonekana unaendekeza Sana Mbege
 
Back
Top Bottom