Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Jamaa amefanikiwa kumwoa mwanamke ambaye hajawahi kumvua chupi. Lakini alipoanza naye maisha mwanamke anakataa katakata kutoa ile kitu inayokamilisha ndoa: baada ya kushindwa kumshawishi na hata kutumia nguvu kiasi, jamaa akaamua kwenda kumshitaki mke kwa viongozi wa dini. Mwanamke akabisha katakata na kudai kwamba anatafuta njia ya kumwacha kwa vile alidhani yy ni bikra kumbe sivyo. Katika kila baraza mwanamke alisema hivyo. Sasa kwa kesi ya namna hiyo ushahidi utapatikanaje ili haki itendeke? Toa maoni yako.