Kesi isiyo na mashahidi mbaya!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Jamaa amefanikiwa kumwoa mwanamke ambaye hajawahi kumvua chupi. Lakini alipoanza naye maisha mwanamke anakataa katakata kutoa ile kitu inayokamilisha ndoa: baada ya kushindwa kumshawishi na hata kutumia nguvu kiasi, jamaa akaamua kwenda kumshitaki mke kwa viongozi wa dini. Mwanamke akabisha katakata na kudai kwamba anatafuta njia ya kumwacha kwa vile alidhani yy ni bikra kumbe sivyo. Katika kila baraza mwanamke alisema hivyo. Sasa kwa kesi ya namna hiyo ushahidi utapatikanaje ili haki itendeke? Toa maoni yako.
 
Kidogo sijakusoma vyema mwanamke alidhani mwanaume ni bikra ndo anatafuta njia ya kumwacha?!
 
Unahitaji ushahidi wa nini? Si 'unampiga' chini tu....mbona wanawake wengi tu! Kama hataki tendo la ndoa sasa aliingia kwenye ndoa ili iweje?
 
Mwanamke analieleza baraza (kwa uzushi) ya kwamba kwa vile hajawahi kutoa penzi kwa jamaa, jamaa alikuwa na uhakika kwamba yy (mwanamke) ni bikira lkn alipomwona njia ipo wazi amekatishwa tamaa na kutaka kumwacha ili atafute bikira.
 
Unahitaji ushahidi wa nini? Si 'unampiga' chini tu....mbona wanawake wengi tu! Kama hataki tendo la ndoa sasa aliingia kwenye ndoa ili iweje?
Kumpiga chini lazima uanze kwa kuhalalisha huo uamuzi wako. Ndoa ina kwa kawaida ina sheria zake na ni tofauti na kuishi na girl friend: ukienda kasi utajikuta unapoteza haki zako na kumpa mwanamke hivyo ni lazima utafute namna ya kushawishi mabaraza mbalimbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom