Jiwejeusi
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 754
- 131
Ndugu wanajf, napenda kuwataarifu ya kwamba, kesho kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na chadema mkoani shinyanga. Maandamano hayo ni kwa ajili ya kupinga ongezeko kubwa la bei ya maji linalotozwa na shuwasa mkoani shinyanga.
Wanajf wote mnaoishi shy mjini mnaobwa kushirik maandamano hayo yatakayoanzia eneo la ibinzamata na kuishi joshoni rubaga.
Wanajf wote mnaoishi shy mjini mnaobwa kushirik maandamano hayo yatakayoanzia eneo la ibinzamata na kuishi joshoni rubaga.