LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Ndg zangu! Ahadi ni deni! Tuna ahadi toka ndani ya Bunge le2 tukufu ya waziri mkuu ya kwamba ifikapo tarehe tajwa hapo juu hakika mgao wa umeme hapa nchi imekwisha na nafikiri Watanzania wote 2naisubiria siku ya kesho na bila shaka hili giza itakuwa imetutupa mgongo. WanaJF tusubirie na kuona. NAWAKILISHA!