tupe feedback, ulivyofumania ilikuje
kwa ushauri huo nakupandisha cheo savimbi SnThe Only Ukikua utaacha,Watu siku hizi hawaumizi kichwa kwa ajili ya mapenzi,tafuta chappaa,tafuta salary hamka wenzako hawalali,mademu wapo wengi sana sana hadi wengine wanakosa wanaume,tafuta salary