Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

The Only Ukikua utaacha,Watu siku hizi hawaumizi kichwa kwa ajili ya mapenzi,tafuta chappaa,tafuta salary hamka wenzako hawalali,mademu wapo wengi sana sana hadi wengine wanakosa wanaume,tafuta salary
kwa ushauri huo nakupandisha cheo savimbi Sn
 
najua walikutandika wewe na kiherehere chako, kwani kuipa shida nafsi yako.
 
kifua unacho lakini??? mana usisikie watu wamefumania ukadhani rahisi angalia usije ishia kuua bure, kama unajiona una mahasira yamekukaba achana na fumanizi hilo endelea na maisha yako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom