Kero: George Marato wa ITV

Wakenya wabunifu.......huwezi kuwakuta wakitangaza kipuuzi kama hawa wetu........hata commercial zao zimeenda shule......sio kama za kina Majuto na magodoro Dodoma........kichefuchefu kitupu.........

Kweli, wale watu wanajua wanachokifanya. Hawabahatishi
 
Mi ripota anayenikosha kwa mbwembwe zake ni yule Ja te te Njoroge wa Citizen

Kumbe watz wanamfahamu Gatete Njoroge wa Citizen,ningependa sana kuwatazama watangazaji wa tv. za tz nao pia huku Kenya. Sasa sijui kama mnamfahamu huyu Hassan Juma wa KTN ananiudhi sana na bass yake ingine feki feki,duh!meno yake yote yataanguka chini siku moja,nangoja hilo sana,haaasaaaaan juuumaaaaaaaaaah,ktn michezo!Argh!
 
Nimpendae ni Julie Gichuru Citizen TV. news at 9,sunday huwa sikosi,news nikama darasani bana unafunzwa maneno unajisahau kidogo hivi unastukia imefika saa nne na nusu.Anafaa kuwa lecturer huyo ako sawa tena sana.
 
Nakuunga mkono mkuu. japo sija check coment za wengine na nafahan anaripitia mkoa wa Mara, mimi nasema anakera sana hasa kipindi kabla ya uchaguzi, anavuta maneno wakati watu tuna tune 40mins kuskiza habari, instead anapaswa ku rise hoja ama maswali kwa kifupi yenye majibu ya kina ama detailed information kuhusu ishu fulani, mbwembwe zake zilikuwa hot at 1900's years bt not this decade
 
Haha!Unavoeleza ata mimi nimeanza kumchukia na hata simjui.Hivi naeza pata news za itv kwa net?yuko itv au?
 
Kumbe watz wanamfahamu Gatete Njoroge wa Citizen,ningependa sana kuwatazama watangazaji wa tv. za tz nao pia huku Kenya. Sasa sijui kama mnamfahamu huyu Hassan Juma wa KTN ananiudhi sana na bass yake ingine feki feki,duh!meno yake yote yataanguka chini siku moja,nangoja hilo sana,haaasaaaaan juuumaaaaaaaaaah,ktn michezo!Argh!

Hapana mi nawafahamu wa Citizen tu, hahahahahaha hilo swala la meno limenichekesha sana lol
 
Haha!Unavoeleza ata mimi nimeanza kumchukia na hata simjui.Hivi naeza pata news za itv kwa net?yuko itv au?

kwa net sijajuwa kama wana link ila yuko ITV, he is very local yani. afadhali kidogo mwenzake aliye ripotia geita na mwanza kipindi hiki cha kuhesabu kura baada ya buhohela
 
Hapana mi nawafahamu wa Citizen tu, hahahahahaha hilo swala la meno limenichekesha sana lol

Si mzaha mkuu ukimwona anavyojilazimisha kutoa hiyo bass ni comedy tosha,duh!anatokwa na mishipa kwa shingo na kichwani huku amejikaza kama anataka fanya tackle ya mchezo wa raga vile ni haaasaan anavuta akimalizia jumaaaaaaaaaaaah KTN michezo.Huwa anananiudhi lakini namuonea huruma bado kwa kujilazimisha vile,atakuja wacha mzigo unaotoa mvuke uwanjani.Walai mkuu
 
Hahahahahaha natamanije kumsikia sasa! Mkuu we kiboko kwa kuponda
 
kwa net sijajuwa kama wana link ila yuko ITV, he is very local yani. afadhali kidogo mwenzake aliye ripotia geita na mwanza kipindi hiki cha kuhesabu kura baada ya buhohela

Siwafahamu vizuri maanake hapa kenya hatupati ITV lakini ulivoeleza umenichekesha nikatamani kumwona hata kama labda ataniudhi pia.
 
kwa net sijajuwa kama wana link ila yuko ITV, he is very local yani. afadhali kidogo mwenzake aliye ripotia geita na mwanza kipindi hiki cha kuhesabu kura baada ya buhohela

hivi buhohela yuko wapi mbona kimya?!
 
Hahahahahaha natamanije kumsikia sasa! Mkuu we kiboko kwa kuponda

Nikama kulogwa sijui kama ni mimi pekee?Lakini huwa najipata kitu nachokichukia ndo kile kile nachong'ang'ania.Mara kibao najipata mimi huyo namtizama kwenye KTN ananiudhi nachapa pose tu kwenye sofa nikimwona tu,upuuzi wote anaofanya,mawazo ya kuenda kwenye michezo anayoripoti yananijia yaani nimngoje aseme haasaan nimmalizie na ngumi ya kilo,mara nafikiria niandike barua ndefu kwa KTN nikiwa kashif kwa kuajiri nyani wa sarakasi kama ripota wa michezo.Mungu anihurumie.
 
Saa zingine nikitoka kazi nione maripota wa ajabu nikiwa napangia kupumzisha bongo kwa kutazama taarifa ya habari nafikiria kubadilisha tv. nilete na aquarium ivi angalau labda kutazama samaki wakiwa shughli zao ni starehe bila stress.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom