Kenya's Day of Pride; The Birth of a New Republic

Ma Mc ni wanajeshi kwa hiyo 'hakuna mambo ya mipashoz' ni kazi kazi kweli kweli kwenye orderly manner.
 
Sasa zamu ya wajasiliamali na wafanyabiashara kuonyesha kazi zao; Trade Unions et al
 
Tunatakiwa tubadirike sana kifikra kutokana na hili tukio la katiba mpya Kenya, dawau.
 
i love the way those cotu guys are symbolizing the building of the new kenya .... Hahahahaa..
 
Sasa wimbo wa taifa la Kenya unaimbwa...Tanzania tunawakilishwa na Rais Karume wa SMZ na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa

Yaani alieko madarakani ndie alietakiwa awepo ili ajifunze amewapeleka ambao hawahusiki na majukumu ya nchi ya kila siku si angempeleka PM?
 
Hawa jamaa wameleta hadi gwaride la vifaa vizito vya kijeshi duh!

Haya mambo ya kuonesha vifaa vya kijeshi yanaboa tu bana... kuna mengi yahusianayo na jamii kuliko vifaa vya jeshi ambayo yangeweza kukidhi dukuduku la watazamaji kujionea kwenye hilo tamasha. Vifaa vya jeshi ili kuonesha uwezo wa kupigana dhidi ya nani, Somalian pirates?!!
 
naona wanafunzi wa kenya wakiwa wamependeza sana. wamevaa rangi za bendera ya taifa la kenya
 
sasa ni zamu ya uwakilishi wa wanamichezo. Hakuna kulala leo kwa wakenya. I wish Dr. Ouko na Tom Mboya wangekuwepo hapa!
 
Yaani alieko madarakani ndie alietakiwa awepo ili ajifunze amewapeleka ambao hawahusiki na majukumu ya nchi ya kila siku si angempeleka PM?


Mkuu Sokomoko, PM yupo/alikuwa Burundi kuiwakilisha nchi kwenye sherehe za kuapishwa Pierre Nkurunzinza...
 
zamu ya watu wa pwani na mchanganyiko wa mataifa mbalimbali. Sasa zamu ya 'National Youth Orchestra' kumbuka kenya wazungu pia ni wengi.
 
zamu ya watu wa pwani na mchanganyiko wa mataifa mbalimbali. Sasa zamu ya 'National Youth Orchestra' kumbuka kenya wazungu pia ni wengi.

Ndo maana yule conductor nimemwona kama mzungu vile.,.....na hii miziki 'classical' ni ya wazungu zaidi nadhani

he sasa wadosi na 'wape wape eeh vidonge vyao'....makubwa
 
hawa wacheza ngoma wanafurahisha sana ingwa hawawafikii wamakonde wetu

dnuhurupark2608b.jpg



1282828904.jpg
 
Congratulations to our brothers and sisters in Kenya. Now you are in the republic of Kenya and you are all Kenyans. Bravo to all Kenyans.
 
Back
Top Bottom