Kenya's Day of Pride; The Birth of a New Republic

Haki hutafutwa Wakenya walipofikia hawakungoja ifike siku wapate katiba mpya viongozi wetu wameshalewa madaraka hawaoni sababu ya wao kutengeneza mianya ya wengine kuitwa ma bwana wakubwa. Hakika wakenya wana stahili pole kwanza kabla ya pongezi. Pole kwa kupoteza mamia ya wakenya baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 wa Rais na wabunge ulioleta umwagaji mkubwa wa damu na ndio leo hii umwagaji huo umesababisha Katiba mpya ya kenya.

Swali langu dogo kwa wenye nchi hii waheshimiwa mnataka yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania ndio na sisi tupate Katiba mpya? chondechonde wapendwa sisi tuna hamu ya kuishi kama nyie kueni waungwana.

Kwa kumalizia Hongereni Wakenya kwa hatua mliyopiga nyie ni mfano wa kuigwa kwa bara zima la Africa.
 
Kenya Kenya Kenya taifa letu Kenya Kenya Kenya inchi yetu
Kanyaga inchi yako kwa nguvu na raha hilo ni hakikisho la raisi wetu...zamani tuli wekwa eti numba 4 sasa about turni tuko namba moja...Kenya Kenya Kenya taifa letu Kenya Kenya Kenya inchi yetu'
Wako wapi wabeberu waone haya...(wako wapi opposition waone haya ama ni the reds)...
Kenya Kenya Kenya taifa letu Kenya Kenya Kenya inchi yetu'
 
Kenya may have its shortcomings but it is a great nation! Im proud to be a Kenyan.We welcome all African dignitaries who have come to be with us Kenyans at this auspicious occasion.God Bless Kenya.God Bless Africa:violin:
 
Baada ya muhuri naona yametimia, Kibaki sasa anaionyesha kwa public, kimeeleweka sasa bado sisi

...Naona na Mpwa hukucheza mbali kabisa na Uhuru park!

BWT: Hongereni sana wa Kenya kwa kupiga hatua kubwa sana katika kuimarisha Demokrasia kwenye nchi yenu......!
 
Muda si mrefu gwaride la wanajeshi wa kenya litaondoka uwanjani kisha wanavikundi kuingia uwanjani kuinogesha shughuli hii.
 
...Naona na Mpwa hukucheza mbali kabisa na Uhuru park!

BWT: Hongereni sana wa Kenya kwa kupiga hatua kubwa sana katika kuimarisha Demokrasia kwenye nchi yenu......!

Mpwa nimetafuta nafasi tangu jana jioni hapa.............
 
Thank you all...Its been very active in we have had our differences in JF lakini leo tuko pamoja to usher in the new constitution in Kenya.
Long live EA...Si se puerde...yes we can!
 
DNMTKENYA2508kjA.jpg


Simon Gitau, a Kenya Wildlife Service warden (front) and Mr Simon Wachira (in yellow) lead a group of 22 people to climb Mt Kenya on August 25, 2010. The Kenyan flag will be mounted at Batian point while the new constitution will be cemented at point Lenana on Friday.


DNMTKENYA2508JA.jpg


Kieni East district commissioner Daniel Ondabu (left) presents a copy of the new constitution to Mr Simon Wachira of Mt Kenya tourism circuit at Sirimon gate on August 25, 2010 to kick off a two day mountain climbing exercise to place the document at Lenana point on Friday.


DNMTKENYA2508mjA.jpg


Simon Wachira (in yellow) lifts a copy of the new constitution after it was handed to him by Kieni East district commissioner Daniel Ondabu at Sirimon gate on August 25, 2010


DNMTKENYA2508jpA.jpg






 
uwanja umetapika unanikumbusha wakati wa Obama kula kiapo jinsi ile MALL ya DC Ilivyotapika. Jamaa wanamashine nzuri sana za kivita!
 
Naona hata kikosi cha majini kinaonyesha wapiga mbizi wao na vifaa wanavyotumia
 
Thank you all...Its been very active in we have had our differences in JF lakini leo tuko pamoja to usher in the new constitution in Kenya.
Long live EA...Si se puerde...yes we can!

Absolutely Si, se Puede.... Estamos Kenyanos para Siempre... I love my country.
 
Gwaride ndo limefikia tamati sasa. Ndege za kivita sasa ndo zinapita. Ndege za kisasa kabuisa UZ 500MB. Zimebeba bango kubwa zikisema 'kenya mpyaaaaaa'
 
Hawa jamaa wanaelkopta nyingi sana angani zimebeba bango 'God Bless Kenya"
 
Back
Top Bottom