Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,107
- 47,114
Kenya kieneo ni karibia nusu tu ya Tanzania tena sehemu kubwa ya ardhi yake ikiwa na kame isiyozalisha chochote na pia ikiwa na rasilimali chache sana kulinganisha Tanzania ila ina uchumi mkubwa sana kuishinda Tanzania kwa zaidi ya theluthi. Hii ilipaswa kuwa aibu kubwa.Developed country yenye pop ya 54 mln na viwanda vingi inazidiwa unemployment rate na nchi isiyo na viwanda na pop ya 61 mln,riadha na obama vimefanya kenya ijulikane ulimwengu na wenyewe wanajitangaza kwa mazuri sana,kenyan mpaka leo baadhi ya vitu vya TZ wanadanganya ni vya kenya,wamejengwa kihivyo yan kuaminisha watu km wao ni bora hata kama huo ubora hawana,sisi wa TZ tutajulikana vipi ikiwa ukiwa nje ya TZ ikitokea kitu wanashiriki watanzania mkienda ubalozini kuomba bendera tu mnanyimwq,m TZ ukiwa nje ukifika ubalozini hata kwa kusalimia maafisa wa pale wanakuogopa km umebeba unga vile,ccm ni janga aisee