Kenya ya 3 kwa Umeme wa uhakika wakati Tanzania umeme ni anasa

Developed country yenye pop ya 54 mln na viwanda vingi inazidiwa unemployment rate na nchi isiyo na viwanda na pop ya 61 mln,riadha na obama vimefanya kenya ijulikane ulimwengu na wenyewe wanajitangaza kwa mazuri sana,kenyan mpaka leo baadhi ya vitu vya TZ wanadanganya ni vya kenya,wamejengwa kihivyo yan kuaminisha watu km wao ni bora hata kama huo ubora hawana,sisi wa TZ tutajulikana vipi ikiwa ukiwa nje ya TZ ikitokea kitu wanashiriki watanzania mkienda ubalozini kuomba bendera tu mnanyimwq,m TZ ukiwa nje ukifika ubalozini hata kwa kusalimia maafisa wa pale wanakuogopa km umebeba unga vile,ccm ni janga aisee
Kenya kieneo ni karibia nusu tu ya Tanzania tena sehemu kubwa ya ardhi yake ikiwa na kame isiyozalisha chochote na pia ikiwa na rasilimali chache sana kulinganisha Tanzania ila ina uchumi mkubwa sana kuishinda Tanzania kwa zaidi ya theluthi. Hii ilipaswa kuwa aibu kubwa.
 
Asikudanganye mtu. Hakuna maendeleo makubwa yanaweza kupatikana katika nchi bila mazingira yake kuwekwa na Serikali. Uwezo wa mtu mmoja mmoja, kuna mahali unaishia. Wewe kama mtu binafsi huwezi kuzalusha umeme mkubwa wa jwako, wala huwezi kujenga barabara yako binafsi, wala huwezi kujipangia kodi, n.k.
Wewe mtu binafsi lazisha kauzie hio serikali ,wewe mtu binafsi kawekeze in partneship na hio serikali , wewe mtu binafsi tajirika wewe na uirudishie kodi serikali yako isaidie wale watu masikini ,wewe mtu binafsi jiendeleze wewe basi na serikali yako itakuwa na watu walioendelea ila wewe mtu na watu binafsi kumbatieni umasikini sana mnazalisha taifa masikini ndivyo ilivyo nq itaendelea kuwa watu masikini huzalisha taifa masikini watu werevu na wenye uwezo huzalisha taifa la werevu na lenye uwezo it began with indivinduals .
 
Yani ili taifa kuna wakati ni bola lingepinduliwa tu awa walevi wa madalaka waisome namba na wao
 
Ukisema uongo ulio wazi, hata kama utauwasilisha kwa tarakimu za maandishi ya dhahabu, utabaki tu kuwa ni uongo siku zote. Hauwezi kugeuka na kuwa ukweli kwa vile tu takwimu pinzani hazikuwasilishwa.
Swali ni kuwa wewe umeupimaje huo uongo wa mwenzako kwa hoja ya ukweli ili na wewe upimwe na wengine iwapo sio mwongo vilevile (labda)?

Mwenzio kahesabu au katengeneza namba na kuziweka hapa (kwa mujibu wako) na kusema hizi ndizo takwimu. Wewe unasema, hapana haya ni manamba ya kujiandikia tu..

Okay, it's well and good.

Sasa wewe takwimu zako, na namba zako "za kitaalamu" au zozote zile kwa kadiri ya utafutaji wako ziko wapi ili wasomaji wafanye comparison kujua yupi ni mtafiti na mtakwimu makini?

That's all. Nothing more, nothing less..
 
Kenya kieneo ni karibia nusu tu ya Tanzania tena sehemu kubwa ya ardhi yake ikiwa na kame isiyozalisha chochote na pia ikiwa na rasilimali chache sana kulinganisha Tanzania ila ina uchumi mkubwa sana kuishinda Tanzania kwa zaidi ya theluthi. Hii ilipaswa kuwa aibu kubwa.
Ni kweli ila inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa na viwanda vingi tunawazidi kwenye suala la utoaji wa ajira?
 
Ni kweli ila inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa na viwanda vingi tunawazidi kwenye suala la utoaji wa ajira?
Ajira tunazowazidi nazo ni za mashambani uvuvi, ufugaji, migodini na uchomaji mkaa. Watanzania wengi ni vibarua mashambani. Kukiwa na maendeleo makubwa ya Kilimo Tanzania na mashamba yaanze kulimwa kisasa kwa mashine raia wengi sana wa mashambani watapoteza ajira na kubaki wanazurura tu.
 
Ajira tunazowazidi nazo ni za mashambani uvuvi, ufugaji, migodini na uchomaji mkaa. Watanzania wengi ni vibarua mashambani. Kukiwa na maendeleo makubwa ya Kilimo Tanzania na mashamba yaanze kulimwa kisasa kwa mashine raia wengi sana wa mashambani watapoteza ajira na kubaki wanazurura tu.
Unahitajika mirembe aisee
 
Kati ya vigezo vya kupima maendeleo ya nchi ni pamoja na kiwango cha nishati ambacho kwa wastani, kila mwananchi hutumia.

Huwezi kuwa na maendeleo kama huna nishati ya uhakika, inayotosheleza na inayoaminika.

Nchi 10 zinazoongoza kwa ubora wa upatikanaji wa nishati ya umeme Afrika, majirani zetu Kenya ni nchi ya tatu:

According to energycapitalenergy.com, below are the African countries with stable power supply.

1. Ghana
Ghana, who got electricity supply from Nigeria, is one of the African countries with a stable power supply. Her electricity mix is ruled by hydropower, thermal energy and gas. This country is endowed with natural gas reserves which aids a proper power supply. Currently, this country has a high national electricity access of 85%.

2. Egypt
Egypt has 100% electricity access rate for both the rural and urban areas. The country has plans to supply electricity to other countries.

3. Kenya
According to energycapitalpower, Kenya has the highest access rate in East Africa. It imports power from Uganda and Ethiopia. Over 80% of Kenya’s electricity is generated from renewable energy sources with. Kenya has 62.7% electricity access for rural areas and 94% for urban areas. Hivi karibuni umeme Kenya ulikatika kwa siku moja, wakuu wawili wa shirika la umeme walifikishwa mahakamani kwa kuisababishia nchi hasara. Tanzania umeme unakatwa kila siku, hakuna anayefikishwa hata kwenye baraza la kata. Leo nipo Mwanza, jana nimefika saa 2 usiku kulikuwa hakuna umeme mpaka naenda kulala. Sijui ulirudishwa saa ngapi, lakini saa 2 asubuhi leo ukakatwa tena, mpaka muda huu haupo. Sijui kama ni mji mzima au eneo hili nililopo pekee.

4. South Africa
This is the only African country that allows nuclear energy for power. South Africa has 80% power supply and is ranked one of the best African countries with stable power supply.

5. Gabon
Gabon has a stable power supply with 91.6% electricity access rate. According to energypedia.info, about 91% of Gabon’s population has access to electricity. The country’s main source of energy is through fossil fuels and hydropower.

6. Tunisia
Tunisia is one of the African countries that has 100% electricity access to both the urban and rural areas. This country generates its energy from natural gas and is also investing in renewable energy

7. Algeria
Algeria has a 99.8% electricity access rate with 99.6% in the rural areas and 99.9% in the urban areas.

8. Morocco
According to moroccoworldnews, electricity penetration in Morocco remains the highest amongst the list of countries with 100% electricity penetration. Morocco represents a high potential renewable energy market, particularly regarding solar.

9. Senegal
Senegal has 70.4% electricity access generating its electricity from solar, wind and natural gas. The urban area has 95.2% access to electricity while the rural area has 47.4% access.

10. Botswana
This country generates its power from coal, wood and petroleum.

Tanzania tumepewa kila kitu, tulichokikosa ni uongozi wenye maono. Ukikosa uongozi wenye maono, regardless una kitu gani, ukweli ni kwamba unakuwa umekosa kila kitu.

Ndiyo maana, licha ya Tanzania kujaliwa mali asilia nyingi sana, lakini huwezi kuiona Tanzania ikiiongoza kwenye jambo lolote lililo zuri.

1. Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye elimu bora.

2. Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye huduma bora ya afya

3) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye mipangilio mizuri ya miji na makazi

4) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye huduma bora ya maji

5) Hutaiona katika orodha ya nchi zenye barabara bora

6) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye bandari bora Africa.

7) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye maendeleo makubwa ya tekinolojia Africa.

8) Hutaiona kwenye nchi zenye mifumo bora ya demokrasia Africa.
Here are the top 10 African countries leading in the Democracy Index:

1. Mauritius 8.14
2. Botswana 7.81
3. Cape Verde 7.67
4. Namibia 7.20
5. Ghana 6.95
6. Senegal 6.88
7. South Africa 6.83
8. Tunisia 6.67
9. Kenya 6.55
10. Madagascar 5.70

9) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye mifumo bora ya utawala wa sheria

10) Hutaiona kwenye orodha ya nchi zenye maendeleo makubwa Africa:

Top 10 Most Developed Countries in Africa in 2023
1) Mauritius – 0.802 (Very High)
2) Seychelles – 0.785 (High)
3) Algeria – 0.745 (High)
4) Egypt – 0.731 (High)
5) Tunisia – 0.731 (High)
6) Libya – 0.718 (High)
7) South Africa – 0.713 (High)
8) Gabon – 0.706 (High)
9) Botswana – 0.693 (High)
10) Morocco – .683 (Medium)

NB: Tanzania bila kufanya mabadiliko makubwa kwenye mifumo ya utawala wa nchi, hata ipite miaka mingapi, sisi tutakuwa ni watu wa kuongelea na kustaajabia maendeleo ya mataifa mengine.

Tukitaka kuondoka mahali tulipo ni lazima twende kwenye root cause, ambayo ni mifumo mibaya ya uongozi na namna viongozi wanavyopatikana. Viongozi wamewafunga watanzania wote, wao wapo mbele wakiwakokota Watanzania wote, kuwapeleka mahali ambako hata wao wenyewe hawajui. Ndiyo maana Kikwete alipoulizwa kwa nini nchi hii ni maskini, alisema hata yeye hajui.
"Ndiyo maana Kikwete alipoulizwa kwa nini nchi hii ni maskini, alisema hata yeye hajui", alishangaa kuona yeye alikuwa masikini lakini leo ametajirika bila ya kufanya biashara yoyote ile.
 
Kwa mazingira kama hayo, badala ya kuhangaika vitu vya msingi kama huduma ya umeme, tunahangaika na vitu vyenye impact ndogo sana kama ROYAL TOUR, tukiamini itaongeza watalii, wakati mazingira yetu yanafukuza watalii.
Na Cha ajabu sijui niseme kustaajibisha kila Mzungu anaefika akiulizwa unaelekea wapi jibu ni moja tu 'Zanzibar', kwa hio wazungu wengi wanakimbilia kwenye umeme usiosumbua yaan 'Zanzibar'
 
Swali ni kuwa wewe umeupimaje huo uongo wa mwenzako kwa hoja ya ukweli ili na wewe upimwe na wengine iwapo sio mwongo vilevile (labda)?

Mwenzio kahesabu au katengeneza namba na kuziweka hapa (kwa mujibu wako) na kusema hizi ndizo takwimu. Wewe unasema, hapana haya ni manamba ya kujiandikia tu..

Okay, it's well and good.

Sasa wewe takwimu zako, na namba zako "za kitaalamu" au zozote zile kwa kadiri ya utafutaji wako ziko wapi ili wasomaji wafanye comparison kujua yupi ni mtafiti na mtakwimu makini?

That's all. Nothing more, nothing less..
Kwanza ni muhimu ujue, ni nani kati yetu ana 'burden of proof." Mimi sina jukumu la kuleta utafiti ulinganishwe na hayo manamba aliyotengeneza huyo mtu. Mimi nawasilisha tu uhalisia uliopo usioendana na hayo manamba yaliyopachikwa humo.
Nikiona nyumba ambazo hazina umeme, lakini zinahesabika tu kuwa nazo ni kati ya hayo manamba yanayohesabika kwenye huo utafiti, nitayakataa hayo manamba, na wala sina wajibu wa kufanya utafiti kwanza halafu niuwasilishe kupinga hayo manamba yasiyokuwa na ukweli.

Kwa hiyo, elewa kuwa siyo jukumu langu kuleta utafiti, jukumu langu ni kukataa uongo unaowasilishwa kutokana ninayoyaona kiuhalisia yakiwepo.
Naona mjadala huu sasa tunazungukia tu kweye hayo hayo ambayo tumekwishaelezana tokea mwanzo.
 
Hizi takwimu sio za kuamini toka mwaka jana South Africa wana mgao Tanzania ikasome. Labda ni takwimu za kua na miundombinu bora ya umeme ila sio kua na umeme wa uhakika.
Kenya wanatushinda kwa sababu zipi?
 
Acha bRah bRah, jibu maswali haya kwa namba,

1. Tanzania inazalisha kiasi gani cha umeme na Kenya inazalisha kiasi gani?

2. Nchi gani za Africa au Africa Mashariki zinazozalisha kiwango kikubwa zaidi cha umeme.

3.Nchi gani za Africa au Africa Mashariki zina matumizi makubwa zaidi ya umeme.

4.Nchi gani za Africa au Africa Mashariki asilimia kubwa ya raia wake wanapata au wameunganishwa na umeme?

5.Nchi gani za Africa au Africa Mashariki huwa hazina migao ya umeme ya kudumu?
Mkuu 'Yoda', kwanza nikueleze kuwa maswali yako hayana uhusiano wowote na mada inayojadiliwa hapa, ambayo inahusu "Kenya ya 3 Kkwa "UMEME WA HAKIKA...."; kwa hiyo pamoja na kwamba ningeweza kujibu maswali hayo, ambayo mengine ni 'redundant' sioni umuhimu wa kufanya hivyo.

Pili ni lazima nikukumbushe kwamba hakuna popote nilipoandika katika mada hii kuonyesha kwamba hali ya umeme Tanzania ina unafuu wowote, kwa hiyo siyo swala la ulinganisho wa nchi hizi mbili, ambazo zote kiuhakika ni mbovu tu, hakuna yenye unafuu.

Tatu, ni muhimu pia uelewe, hayo uliyoyaita ni "bRah bRah", bila shaka utakuwa huelewi maana ya msemo huo. Yasome tena, unionyeshe ni yapi hasa ni 'bRah' kwa maoni yako.
 
Wana umeme wa kiasi gani? Huko juu umesisitizwa sana badala ya kubisha tu kama kwenye genge la kahawa weka takwimu unazojua ni sahihi, sema hiki ndio kiasi wanchozalisha Kenya, hii ndio idadi ya wananchi waliounganishwa na umeme na hii ndio hali ya umeme. Hata hivyo hayo yote umepuuza unachoshikilia ni kwa kwamba unajua tu na unataka watu wa kuamini kwa kujua kwako na maneno yako matupu tu ya mdomoni bila kujali takwimu ambazo ni public na yeyote anayetaka anaweza kuziona!
Haya hapa ndiyo maana ya kuwa na "umeme wa uhakika" kama mada inavyosema?
Hiyo Megawatt 3,000 unayoimba kama kasuku juu yake uliiona ikizalishwa wapi nchini humo. Kama huku siyo kujitoa akili. EPRA wenyewe, wahusika na maswala yao ya umeme wanasema nchi hiyo haizalishi zaidi ya MW 2,300; lakini unakuja hapa na kuvimbisha mishipa kwa jambo ambalo hulijui kabisa?

Hivi unaelewa maana ya ujuha kama huu uliouweka hapa: "...takwimu ambazo ni public na yeyote anayetaka anaweza kuziona" Sasa kama unalitambua hilo, kinachokuliza hapa ni kitu gani?
Umeangalia hizo takwimu ukaziona zinaendana na uongo uliowekwa katika hicho kinachoitwa utafiti unaodai nchi hiyo kuwa ya tatu Afrka katika (hata haieleweki jambo gani hasa)!
 
Mkuu 'Bams', unajua wazi siwezi kamwe kuwatetea TANESCO kwa jambo lolote wanalofanya kuhusu umeme wetu; lakini kuamini ujinga huo ulioonyeshwa katika kijarida hicho ni upumbavu mkubwa kabisa; kuwa Kenya inafanya vizuri kwenye mambo ya umeme?

Jameni, watu tunasoma ili tuwze kutumia akili zetu vizuri kutambua uhalisia wa mambo

Hali ya umeme Kenya ni mbovu zaidi, siyo katika vyanzo vyao pekee, lakini hata katika mfumo wa biashara yao katika sekta hiyo.

Kenya wanapenda sana kujiuza kwa uongo mwingi kwa mambo ambayo hawana, na watu hutokea kuamini uongo huo; na naona hata wewe mkuu 'Bams' unajiweka katika kundi la watu wanaoamini uongo.
Juzi niliona kwenye vlogs za I am marwa Yule mkenya wamekaa miezi sita bila umeme kijiji kwao....kenya power ni jipu tu kama ilivyo tanesco
 
Juzi niliona kwenye vlogs za I am marwa Yule mkenya wamekaa miezi sita bila umeme kijiji kwao....kenya power ni jipu tu kama ilivyo tanesco
Actually ni zaidi ya Tanesco kwa njia nyingi mtu akitaka kuchambua hizi taasisi mbili; na Tanesco chini ya Maharage na Makamba jukumu lao lilikuwa ni kuipeleka Tanesco katika muundo ule ule wa Kenya Power, ila mpango huo naona umebuma.
 
Ajira tunazowazidi nazo ni za mashambani uvuvi, ufugaji, migodini na uchomaji mkaa. Watanzania wengi ni vibarua mashambani. Kukiwa na maendeleo makubwa ya Kilimo Tanzania na mashamba yaanze kulimwa kisasa kwa mashine raia wengi sana wa mashambani watapoteza ajira na kubaki wanazurura tu.
LOooooh!
Huyu ni wewe, au kuna mwingine kachukua ID yako?

Haya sasa, tueleze, wakati ukiyataja haya takwimu ziko wapi. Utafiti uliufanyia wapi hadi ukafikia mahitimisho haya?

Wakati mwingine uwe na akili ya kutambua kwamba kukataa uongo ulio wazi hakuhitaji kuweka manamba. Huyo aliyeweka hayo matarakimu ndiye mwenye jukumu la kueleza hayo manamba yake usahihi wake ni upi yanapohojiwa.
Hapa zile ulizoziita wewe "bRah bRah" umeona hazihusiki au siyo?

Hivi nikuulize, una uraia pacha wa huko mahala, maana naona umeguswa sana na habari hii.
 
Wewe mtu binafsi lazisha kauzie hio serikali ,wewe mtu binafsi kawekeze in partneship na hio serikali , wewe mtu binafsi tajirika wewe na uirudishie kodi serikali yako isaidie wale watu masikini ,wewe mtu binafsi jiendeleze wewe basi na serikali yako itakuwa na watu walioendelea ila wewe mtu na watu binafsi kumbatieni umasikini sana mnazalisha taifa masikini ndivyo ilivyo nq itaendelea kuwa watu masikini huzalisha taifa masikini watu werevu na wenye uwezo huzalisha taifa la werevu na lenye uwezo it began with indivinduals .

Hujaenda kwenye mambo ya msingi.

Jiulize, kwa nini maendeleo makubwa na mabadiliko makubwa, Dunia nzima, yalihusishwa na utawala fulani.

Elewa tu:

Failure of any organisation is failureof the management. Hakuna, hakuna hata nchi moja iliyowahi kuendelea au itakayoendelea, ambayo ina Serikali ya hovyo au uongozi wa hovyo.

Uuongozi/serikali ukiwa mzuri, inakuwa ni uongozi/serikali wezeshi wa maendeleo.

Uongozi/serikali ikiwa ya hovyo inakuwa ni kizuizi cha maendeleo ya watu na wananchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom