Kenya - Tanzania border closed over row on vehicle levy

and here they claim to have no issues with Uganda while the whole World knows they pay customs wherever they sneak in their noses in Migingo! How embarrassing is that?

migingo issue was resolved and now The administration Police are comfortably manning the island. another case of sovereignty restored.
 
Wakuu wa JF,

naomba tunapochangia hii mada tupunguze matusi tafadhali maana mada itapinda kirahisi.
Hii ni mada ya nguvu na naamini tunaeza tukachangia hoja tofauti tofauti bila kutumia
matusi kutoka pande zote mbili.

Kwa niaba ya Jamiiforums I would like to state categorically that we do not encourage,
neither do we propagate a policy of hate amongst our members
.Notice that the thread
has been heavily edited to remove offensive and distasteful remarks by different members.

Lets keep the debate civil and have a great day.

Ab-Titchaz
on behalf of JF Administrative Crew.
 
Kama mna uhakika kuwa tukifunga mipaka hamtaumia kwanini mnalialia tunapowapandishia ushuru?

Tuache fitina. Hata sisi tunalialia kwa Kenya kutaka kujenga kiwanja kipya cha ndege Taveta. Hatutaki wajenge hicho kiwanja eti kitadhuru KIA. We are very afraid of Kenyans. Badala ya ku-maintain KIA ili tuweze ku-compete na Wakenya sie tunalalama na kupandisha kodi at the border.

We should address core issue ili kuwa more competitive. Protectionist polices won't get us anywhere. I can't just imagine kwenye EAC tume-exclude property and free movement of people wakati ardhi hiyo hiyo na madini yake chini tunawapa wazungu. We have full of foreigners exploiting our resources. Mbona hatuwangolei hao? Kama sio hypocrisy ni nini?

Inajulikana ni kwa nini Tanzania imepandisha kodi mpakani. Watanzania wamechoka na ukiritimba ulioko kwenye bandari ya Dar na wameamua kutumia bandari ya Mombasa. It is more cheaper kutumia bandari ya Mombosa than Dar. Watanzania wamechoka na ukiritimba wa ulioko kwenye viwanja vyetu vya ndege, wameamua kutumia Nairobi airport. Mpaka sasa sielewi why it is so expensive kushuka KIA than Nairobi Airport au hata Dar from same departure. Hai-make sense kabisa.

I can't wait for the Taveta airport. If we can't compete with them, we better shut down KIA. We aren't even benefiting from that airport anyway. It is unnecessarily too expensive and pesa zenyewe hazijulikani hata zinakwenda wapi. Kupandiswa kwa kodi mpakani ni woga tuu and a protection mechanisms ambayo hata sioni manufaa yake. Wenzetu wanaangalia mbali sie tumebaki kuhangaika na vikodi vya mipakani.

Kenyan airport project ignites diplomatic row with Tanzania

A diplomatic row is simmering between Tanzania and Kenya over the latter's plan to build a state-of-the-art airport at Taveta, nearly 120km from Kilimanjaro International Airport (KIA). Kenya's idea to put up a $119 million plus ultra-modern airport near KIA has stiffly scared the usually calm southern neighbour Tanzania, saying the move is tantamount to sabotaging its economy.

Analysts say the Nairobi move is against the East African Community's spirit that discourages its member states to create investments that compete, predicting that the issue is likely to create bad blood between the two pioneer EAC partner states. The Parliamentary Standing Committee for Defence, Security and Foreign Affairs opposes the proposed Taveta airport, arguing that it will pose stiff competition to the Tanzania's second largest airport, KIA.

The most powerful house committee under Former Prime Minister, Edward Lowassa, is totally against the airport project and is reported to have instructed the minister for EAC affairs, Samuel Sitta, to refer the matter to the EAC Council of Ministers attention. "We are against the move by Kenyan authorities and this is not going to stop here, our minister will execute the resolution. We have KIA in Tanzania, and they plan to build yet another airport close to ours? That is sabotage," Lowassa is on record as saying.

Word has it that should diplomatic means to stop Kenya's plan fail, Tanzania may file a lawsuit in the East African Court of Justice (EACJ) against its partner state over the stand-off. Kenya's High Commissioner to Tanzania, Mutinda Mutiso, was quoted last year as saying that his country had a plan to build a major airport near the Holili border post in order to boost economic activities, including tourism in the area. The facility, hardly 80km from KIA, is expected to cost over $119 million and construction was expected to start this year.

The new airport in the area will be the third because the vicinity already has two international airports; the KIA in Tanzania and Moi International Airport in the Kenyan port city of Mombasa. Ambassador Mutiso said the new airport was likely to be located only seven km inside Kenya and a short distance from Holili (Tanzania), an important border town along the Moshi-Voi-Mombasa highway.

Also to be constructed in the area is an inland port to handle cargo traffic from the
Mombasa port to the hinterland and landlocked countries in the region. Besides serving Kenya, the port handles cargo from or destined to northern Tanzania regions, especially Arusha, Kilimanjaro and Manyara regions. Mutiso said the new airport is aimed at tapping the tourism potential of south east Kenya and north east Tanzania which are endowed with various attractive sites for the visitors.

These include Tsavo West and Amboseli game reserves in Kenya and Mt.Kilimanjaro and newly elevated Mkomazi national park in Tanzania. "We want to see the Taveta/Holili border region fully integrated for investments and business, " he said, adding that his country would upgrade the Mombasa-Taveta railway line to attract more traffic, especially to northern Tanzania. Other transport infrastructure in the area lined up for upgrading include the Mombasa-Lunga Lunga road to the Tanzanian border and Horohoro-Tanga section in Tanzania.

The diplomat defended the new international airport for his country, saying it would reduce the costs and inconveniences by tourists from abroad who had to change planes several times to reach the famous game sanctuaries in the area. Aviation watchers say should the project go ahead, it is likely to impact negatively on KIA which had not been used to the optimum due to high landing and fuel charges which have resulted in less traffic than anticipated when it was constructed 41 years ago.

KIA was intended to attract more visitors to Tanzania from abroad ,especially the tourists heading to the famous national parks in the northern circuit, to land there instead of Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport.

By Jack Mikaili, The Guardian
 
I found this article on The East African, my fellow brothers and sisters, from Nyayo's land, can you please elaborate what is this all about? And don't you think this might be a reason Tanzania's government decided to introduce that fee?

Fresh trade war looms in EA over wheat exports

Tanzanian traders are petitioning the government to stop paying dues to the East Africa Community over Kenya's refusal to allow wheat imports from their country - a move that could spark a fresh trade war between the two East African countries,

The decision is the culmination of nine months of intense lobbying by Tanzanian wheat traders who claim they are victims of unfair competition since Kenyan goods have flooded their markets.

Mohamed Bashrahil, the sales and marketing manager of Azania Wheat Flour, told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the country was "wasting" its money contributing to the running of the EAC Secretariat, as there were no benefits accruing to Tanzania.

According to Mr Bashrahil, Kenyans were killing the spirit of free trade in the regional bloc by not allowing flour from Tanzania into their country.

"A 30 tonne truck carrying flour into Kenya, for example, attracts almost Tsh19 million ($12,000) in taxes. This is aimed at ensuring they protect their local producers. And as if this were not enough authorities have also refused to honour certificates of origin from Tanzania for no good reason," he said.

The largest milling company and a major producer of maize and wheat flour in East Africa, Said Salim Bakhresa and Company Ltd (SSB) has also encountered similar problems and has opted to stop exports to Kenya.

Assistant general manager of SSB Hussein Sufian told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that his firm and Azania Wheat Flour Ltd invited officials from Kenya and Rwanda - which also bars Tanzania wheat exports - to ascertain the quality of their flour but they "still stuck to their guns."

"The rules of origin within the Common Market are still not very clear and that is why the Tanzania government has taken up the issue with the EAC Secretariat," said Mr Sufian.

At the last EAC meeting in Arusha, Tanzania's Ministries of Trade and Industry as well as East African Co-operation made their case but no consensus was reached.

The Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) recently called on EAC member states to eliminate non-tariff barriers to trade in the bloc.

TCCIA president Aloyce Mwamanga said Tanzanian maize and wheat flour exporters were finding it difficult to access Kenyan and Rwandan markets due to non-tariff barriers.

"In doing business among EAC member states, we face a number of challenges but non-tariff barriers are the most irritating," said Mr Mwamanga.

According to Mr Mwamanga, Tanzania has the most maize and wheat millers in the region.

"But it is frustrating to see that flour from the country is denied entry into Kenya and Rwanda for reasons only known to Customs officials from the two countries," he said.

Mr Mwamanga was referring to a recent event in which three trucks carrying 90 tonnes of wheat flour, belonging to the Azania Wheat Flour Mill were allegedly denied entry into Kenya at the Horohoro border post.
 
Tuache fitina. Hata sisi tunalialia kwa Kenya kutaka kujenga kiwanja kipya cha ndege Taveta. Hatutaki wajenge hicho kiwanja eti kitadhuru KIA. We are very afraid of Kenyans. Badala ya ku-maintain KIA ili tuweze ku-compete na Wakenya sie tunalalama na kupandisha kodi at the border.

We should address core issue ili kuwa more competitive. Protectionist polices won't get us anywhere. I can't just imagine kwenye EAC tume-exclude property and free movement of people wakati ardhi hiyo hiyo na madini yake chini tunawapa wazungu. We have full of foreigners exploiting our resources. Mbona hatuwangolei hao? Kama sio hypocrisy ni nini?

Inajulikana ni kwa nini Tanzania imepandisha kodi mpakani. Watanzania wamechoka na ukiritimba ulioko kwenye bandari ya Dar na wameamua kutumia bandari ya Mombasa. It is more cheaper kutumia bandari ya Mombosa than Dar. Watanzania wamechoka na ukiritimba wa ulioko kwenye viwanja vyetu vya ndege, wameamua kutumia Nairobi airport. Mpaka sasa sielewi why it is so expensive kushuka KIA than Nairobi Airport au hata Dar from same departure. Hai-make sense kabisa.

I can't wait for the Taveta airport. If we can't compete with them, we better shut down KIA. We aren't even benefiting from that airport anyway. It is unnecessarily too expensive and pesa zenyewe hazijulikani hata zinakwenda wapi. Kupandiswa kwa kodi mpakani ni woga tuu and a protection mechanisms ambayo hata sioni manufaa yake. Wenzetu wanaangalia mbali sie tumebaki kuhangaika na vikodi vya mipakani.
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?
Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata tukiamua kupunguza operation costs zetu, bado profitability inakuwa hugely affected, inakkuwa kazi ku-control security na movement of illegal goods through our ports..

Mkuu, ijue serikali unayoiongelea, what they do is sabotage nearby econmies by violating many, many international laws. They are brothers to South Sudan, but they are one of Bashir's major trading partners, ask about their beef with Kabila, Museveni (that now they claim to be their friend ,but he just sign a pact with tz to use Tanga port).Ask why Botswana is regretting entering a manpower contract with these fools.... ask urself before yapping!!
You are so used to being against your government to a point that you make most of us here wanna puke!!.. shame on you shallow man! go back and hit the books/journals.
oh yeah!.. on that note I would still loove to say " Blank Kenya!"
 
Hapa unasema kuwa watu kama waganga na waliofeli mitihani ndio hupenya mipaka ya kenya. Ni hii dhana kuhusu watu wenu infanya mufeli katika majukumu yenu. Umenidhihirishia tatizo moja yenu. Hawa waliofeli mitihani wanaeza kutumika katika sekta za ujenzi na biashara. Lakini wakija mahali kama USIU inamaanisha wamepata kitu walishindwa kupata hapo. Pili, mumesalia SADCC kwa maana rahisi kwamba nchi za Afrika kusini zinangangana kujikwamua kutoka kwa mifumo duni za uongozi pamoja na kuwa chini kibiashara, vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hivyo mnataka maisha rahisi, hampendi competition hapo ndipo ukweli ipo.
SADC is the most peaceful vibrant and resourceful economic block compared to any other economic block in Africa! be it COMESA or EAC! Get ur facts right and they r fast growing economical! Here u r showing ur ignorance again
 
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?
Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata tukiamua kupunguza operation costs zetu, bado profitability inakuwa hugely affected, inakkuwa kazi ku-control security na movement of illegal goods through our ports..

Mkuu, ijue serikali unayoiongelea, what they do is sabotage nearby econmies by violating many, many international laws. They are brothers to South Sudan, but they are one of Bashir's major trading partners, ask about their beef with Kabila, Museveni (that now they claim to be their friend ,but he just sign a pact with tz to use Tanga port).Ask why Botswana is regretting entering a manpower contract with these fools.... ask urself before yapping!!
You are so used to being against your government to a point that you make most of us here wanna puke!!.. shame on you shallow man! go back and hit the books/journals.
oh yeah!.. on that note I would still loove to say " Blank Kenya!"

Regional integration and competition may or may not be antagonistic. It depends on the purpose of the integration Integration inaweza ku-foster competition but it can also lead to some disputes and a sense of loss of national sovereignty. Moja ya objectives za African integrations ni kuwaandaa members for a greater global competition and bargaining power. Dunia ya leo, ni vigumu ku-fight alone, unless you are a super power.

Kutokana na kuwa na fragmented and low-income economies, in Africa we need to competitively participate in multilateralism from a regionalised standpoint. This will enable us to negotiate more effectively for international market access and ward off marginalisation and unfair competition in the global arena.

Kuhusina na kwa nini ni bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa wakati costs zake ni kubwa kuliko za Dar au operesheni za cost za Jomo Kenyatta ni kubwa kuliko za Dar au hata KIA, hapo ndipo unapotakiwa kujiuliza kwa nini iwe hivyo. Sasa hivi, Dar port is overtaking Mombasa on cargo handling but one wonders kwa nini Mombasa ilikuwa inatupita.

Whether or not I am against the government, kinachokuwashia nini? Kenyans are planning to build a state of the art airport near ours, badala ya kuboresha wetu angalao tuweze ku-compete na wengine tunalalama just exactly kama Kenya wanavyolalama kupandishiwa kodi mipakani. Hapo tutakuwa na tofauti gani nao?

Mengine nakupotezea. Siko hapa kuita watu wengine "fools" or whatever. I am sure you know how foolish it is to call another fool. Only the wise remain silent, while the real fools bicker.

Dar es Salaam on some instances is reclaiming back business due to somehow liberazation in the port. This happened, when governement came to its senses and allowed competition, by having Tanzania Ports Authority to handle containers as well. Vessels handled at port of Dar has increased with around 5/6 berths dedicated to container handling.

Another detriment at port of Mombasa , is waiting time for a vessel to be allocated a berth, waiting time at Mombasa is quite high and some vessel opting to call Dar es Salaam first and latter go to Mombasa, this shows confidence on part of shipping lines on performance of port of Dar es salaam.

However, this good windfall to our port, may only be temporary due to fact that other infrastructure facilities do not match with increased business. Clearance of cargo at Dar port, documentation wise is still chaotic, with a lot of down time at TRA/ Long room.

There is also serious bottleneck to clear the cargo out of port gates, port seems congested with no space to store cargo. Though, private ICDs are allowed to handle containers, but costs of moving containers to ICD is an extra costs, which has become a headache to importers.

Congestion problems is forcing shipping lines to consider introducing vessel delay surcharges, a move bitterly contested by importers and SUMATRA. But one way or another, shipping lines will collect this charges through any means without importers or SUMATRA being aware, for instance collecting it at port of loading,where SUMATRA have no jurisdiction.

Do not see a scenario, exporters from Tanzania to prefer using Mombasa port, due to logistical , documentation consideration. Local exporters, which are mainly agri commodities, are seriously hampered to use a third port services because of commercial reasons. On importers, this is possible, especially for Tanzania business in regions of Mwanza, Kagera, Shinyanga, at current transportation network is more easier and cheaper to move cargo from Mombasa port than Dar es salaam.

All above said, Dar port should not rest on its laurels thinking, Mombasa will sit back and continue to let Dar take business from them, surely an improvement at Mombasa will change course of business, let us be aware.

https://www.jamiiforums.com/interna...orters-opt-for-dar-es-salaam.html#post3189008
 
we just closed the border! lets see how that goes...men with guts do only actions!

Unashangilia kufungwa border? Why?
Read what the Kenyans brother are saying. Is there a logic?
Hizo trucks zinakuja TZ na mizigo ya TZ.
It is easy for Arusha and Kilimanjaro people to use Mombasa. So wanaoumia ni wafanya biashara wa TZ na sio wa Kenya.

Anyway, Kenya should charge the same on their side.

As for tour operators, tuwaachie TANAPA kazi ya kuwatoza, they are already managing the fees well.
 
Just a quick note to say @Sikonge and @EMT you have responded very logical and rational.
Thank you @Ab-T for reminding everyone of the JF rules.

Watanzania tuamke na tuwe competitive. We have everything going for us. We have the most natural resouces than all other EAC members combined, from madini to utalii na mengine mengi to long lasting amani (amani is our biggest asset and insurance, ingawa imeanza kuchezewa na wanasiasa...).
Tatizo ni sie wenyewe na uongozi wetu.
Let's work hard and let's also make our govt accountable. There is absolutely no reason to feel threatened by Kenya.
 
kwa ukoo wenu pengine munadamu ya kutopenda watu, lakini are those the sentiments of all people in your land or its your own thoughts?? you can trade with the rest of the world, but not us, kwani your nationalistic approach to things is admirable. Amkeni ndugu zetu, tufanye sote bidii!!!

I went to school with some Kenyans abroad! arogant Kenyans! Mhh, what a pity! kwanza wenyewe hawapendani kabisa wenyewe kwanza, sasa they thought sisi TZ hatujasoma vizuri, when I started teaching them sasa ndiyo walijua kumbe hizi siyo zama za kukimbia na ndege zetu, na msifikiri tumesahau, just forget about EA Federation, nyie piganeni huko mwende the Hague, sisi tuacheni, pili pili hujaila inakuwashia nini? sisi peace bwana, wewe lipa 400 USDs kuja TZ kama hutaki nenda kwingine! simple! mkisema tusije Nairobi we go to Jburgh! sasa nini tena hapo kaka! kwanza fundishaneni amani then come bak to us!
 
Hapo kwenye red, ni peace gani unayoizungumzia? Unapozungumzia "peace" Tanzania, unaweza kuwa umeshasahau nini kilichotokea mara ya mwisho ulipokutana na askari polisi wakiwa "kazini" au una undugu au ukaribu na kigogo au fisadi flani, au wewe mwenyewe ni fisadi.

"Peace" unayojivunia ni tunda la haki na usawa. Kama haki na usawa ikiondolewa na amani nayo huondoka. Tanzania ilishawahi kudumisha "peace" kwa kuwa haki na usawa vilidumishwa. Tusijidanganye hapa. Kama hatujali haki na usawa wa watu basi tujue tunachezea hiyo "peace" unayodengulia Wakenya.

Tanzania nchi ya tatu Afrika kwa kuzalisha dhahabu; badala ya ku-maximize revenue from there tunawaachia wageni halafu tunaenda kukusanya dola 200 mipakani. Wakenya wakiamua kutokuja kabisa, hizo dola 200, tutaenda kuzikusanya kwenye mipaka ipi? "Mining companies will export platinum and in the customs records they will say they are exporting tin, which has a lower price" -Thabo Mbeki
 
Wakuu wa JF,

naomba tunapochangia hii mada tupunguze matusi tafadhali maana mada itapinda kirahisi.
Hii ni mada ya nguvu na naamini tunaeza tukachangia hoja tofauti tofauti bila kutumia
matusi kutoka pande zote mbili.

Kwa niaba ya Jamiiforums I would like to state categorically that we do not encourage,
neither do we propagate a policy of hate amongst our members
.Notice that the thread
has been heavily edited to remove offensive and distasteful remarks by different members.

Lets keep the debate civil and have a great day.

Ab-Titchaz
on behalf of JF Administrative Crew.

Asante.

I was already boiling inside, ready to go bang..!!!
Is it too difficult to act like civilized people?...
 
Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not?
Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata tukiamua kupunguza operation costs zetu, bado profitability inakuwa hugely affected, inakkuwa kazi ku-control security na movement of illegal goods through our ports..

Mkuu, ijue serikali unayoiongelea, what they do is sabotage nearby econmies by violating many, many international laws. They are brothers to South Sudan, but they are one of Bashir's major trading partners, ask about their beef with Kabila, Museveni (that now they claim to be their friend ,but he just sign a pact with tz to use Tanga port).Ask why Botswana is regretting entering a manpower contract with these fools.... ask urself before yapping!!
You are so used to being against your government to a point that you make most of us here wanna puke!!.. shame on you shallow man! go back and hit the books/journals.
oh yeah!.. on that note I would still loove to say " Blank Kenya!"

In the EAC we have several partners in this trading bloc. so while Kenya is trying to penetrate certain markets other than EAC, it is a business strategy that has long term benefits. A port may have cheap fees but it is the efficiency and how streamlined the operations are that counts at the end of the day. So instead of complaining about a Kenyan, we should think of doing reinvestment like port expansion and upgrades of state facilities and abolition of bureaucratic processes within these state ran facilities.

Do not just be a fanatic of your government even when it is failing in ensuring peaceful trade within its borders. I like people who can challenge the mess that they can see.

Screenshot at 2012-02-21 10:33:56.jpg
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Go and revise the agreement; We signed the common market protocol under conditions, we said property ownership and free movement should be kept aside i.e every member agreed with us, and that is why we even rejected the use of identity cards instead of passports. Now who is backpedalling implementation? We said in the agreement we are not ready to allow 100% free movement of people and goods, we are again insisting over and over again please you just leave us alone we know what we are doing, we are using our own principles in running our country and not the kenyan principles. If you think we are backpedalling on implementation, then you just terminate our membership.

(7) Tripartite Agreement on Road Transport between the Government of the
Republic of Kenya, the Government of Uganda and the Government of the
United Republic of Tanzania (Arusha, 2001)

The Tripartite Agreement is to be implemented according to the East African Community
Development Strategy 2006–2010. Article II provides that the objectives of the agreement are to
(a) promote, regulate, and facilitate traffic flow through transit routes by handling regional trade
through the partner states’ territories with a view to achieving a fair distribution of road
transport services; and (b) minimize the incidence of customs fraud and avoidance by taking all
the necessary measures to ensure expeditious and secure movement of traffic, avoidance of
unnecessary delays in the movement of goods, and the simplification and harmonization of
relevant documentation and procedures. Rather than adopting a free market approach, Article IV
limits market access based on permits/licenses to be issued to carriers. Article V limits operation
of the agreement to designated ports of entry and routes authorized for international operations.
 
Umeandika vizuri ila kwanini kuanza na lugha za OVYO kama jitu lisiloelewa kitu? Kwani usingeliandika neno UMECHANGANYIKIWA unafikiri nisingelikuelewa? Nikikungalia kwenye picha naona mtu mstaarabu hadi nashangaa mtu kama wewe kutumia lugha ya ajabu. Anyway, ngoja nichukulie kuwa umeteleza.

Ni mtu anayeangalia miaka mitano tu mbele yake ndiyo anakuwa na mawazo kama hayo. Na ili kukuonyesha, ntakuja ni mifano mitatu na hapo utaelewa mie nina maana gani katika hilo:

1. Baada ya vita ya pili ya dunia, USA ilikuwa na hali nzuri sana kiuchumi na nchi nyingi za Ulaya zilikuwa zimechoka hadi zinatia huruma. Ndipo sasa USA akaanza kuzikopesha pesa nyingi sana nchi hizi ili zijijenge kiuchumi huku akijua kuwa kuna siku watasimama na kuja kuanza kumlipa. Ndiyo maana na ubabe wote wa nchi za Ulaya, utashangaa kuwa wanamsikiliza sana USA hadi leo. Kama USA wangelikuwa wanaangalia mita kadhaa mbele, wangelisema kwa nini kuwasaidia nchi zilizoharibika kiuchumi kama za Ulaya? Ni kupoteza muda na pesa.

2. Nchi kama German ndani ya Europenian Union, ni kubwa sana kiuchumi lakini ndiyo wamekuwa waasisi wa kuleta Europen Union na kuipanua. Nani angelitegemea kuwa German itataka kuungana na nchi kama Czech, Slovakia, Poland, Romania, Bulgaria etc wakati kiuchumi, mji wa Frankfurt pekee ambao ndiyo miji tajiri kuliko zote Ulaya, unazizidi kuchumi nchi hizo. Ila wenzetu wanaangalia zaidi ya mita tano.

3. Kenya miaka ya 70 na hasa baada ya Tanzania kupigana na Nduli Amin, walikuwa juu kiuchumi. Ila kwa kuwasikiliza watu kama Chalres Njonjo (Naweza kumfahanisha na wewe) kuwa Tanzania na Uganda ni nchi masikini na hakuna haja ya kushirikina nao, wakaivunjilia mbali East Africa Community. Miaka hiyo, hakuna aliyetegemea kuwa Tanzania itakuja kuwa sehemu hapa ilipo. Sasa hivi Wakenya wanaota kuja Tanzania na wakifika, wanakuwa kama sisi enzi ilee tukifika Nairobi.

Tanzania kama RAIA ni kweli tunafaidika na SADC ila kama nchi, huko tunakuwa Samaki mdogo kwenye bwawa kubwa. Hivi sisi tunauza nini nchini South Africa? Au ni SA ndiyo wanakuja kutumwagia bidhaa zao zilizoisha muda wake ili tufe kwa kansa?

Kama Tanzania tunakwenda juu, basi tupande hadi tuwe namba moja kwenye EAC na hapo sasa, tuipanue zaidi EAC na sisi tuanze kuwa Dictate hao mataifa mengine maana tumeshakuwa Wakubwa. Watanzania wapewe mikopo kama China na kufungua biashara zao kubwakubwa huko Kenya, Uganda nk na faida inarudishwa Tanzania.

Wasiwasi wangu ni kuwa, kesho Kenya inaweza kupanda tena kwa sababu tu wamevumbua mafuta na tukajikuta tumejiharibia wenyewe kama ambavyo wao walijiharibia enzi hizo.

Watalawala na wasomi hasa Wachumi na Wanasheria, wakae na kujadili Mabaya na Mazuri kwa kila upande na baada ya hapo, tuangalie tutabalance vipi ili wote tufaidike.
Ila pana wakati inakuwa kichekesho kwa Watanzania. Tunajifanya tunajua sana kubana miguu kwa Wakenya ila wakija WAZUNGU, Yes Wazungu kutoka Canada, USA nk basi tunawapa madini yetu kwa bei Chee. Wakija Makaburu, tunawakaribisha hadi CHUMBANI na kuwaonyesha hadi Chupi zetu. Ila leo watu tunasema Wakenya NO sijui kwa sababu ni WEUSI sana na Kingozi cheupe tunakuwa tumerogwa kama Wanyamwezi/wasukuma na kingozi cheupe kwani tutalipa ming'ombe yotee kisa tu kangozi keupe.

Ndiyo maana nasema, ni maswala yanayoongeleka. Tukae mezani tuyajadili bila matusi wala dharau kwa mwengine. Hii kuwaona Wakenya wapo chini, kesho unaweza kusikia ndiyo wapo juu na wewe umeshuka na SADC hutakiwi kama ambavyo tunasikia SA Watanzania wanauwawa pamoja na Wageni wengine.

Tuwe na plan za miaka 100 mbele na si miaka 10 mbele.
Nianze kwa kusema samahani kama hilo neno UMECHANGANYIKIWA limekukwaza, binafsi sikulitoa kama tusi ila tu wakati fulani neno hugeuka tusi kulingana na jinsi mpokeaji anavyopata tafsiri.

Nafurahi pia kuwa naongea na mtu mwenye upeo kwa kuzingatia ulichoandika hapa isipokuwa naona kama kuna hali fulani ya ushabiki unaiingiza maana siamini kuwa hoja zako hukuziangalia kwa mtazamo ninaouona mie. Nitumie hoja zako kuhalalisha ninachokitetea.

1. Kama ulivyoeleza ni kweli USA ilikuwa na hali nzuri kiuchumi na iliisaidia ulaya lakini pia ukumbuke kuwa ni ktk wakati huo ndio pia ulikuwa mwanzo wa vita baridi. USA hakufanikiwa kuwavuta mataifa yote bali ulaya magharibi na upande mwingine wakawa mahasimu wake. Ktk hali isiyofanana sana na US, Tanzania ilisaidia sana nchi za SADC na ilitumia raslimali nyingi kusaidia ikiwa ni pamoja na kuianzisha iliyokuwa SADCC. Msaada tuliotoa ndio umefanya tuwe na uhusiano mzuri na mataifa hayo kiusalama, kiuchumi na hata kijamii.

2. Nakubaliana nawe kuhusu Ujerumani ni taifa kubwa la ulaya kiuchumi na ndio limekuwa likisukuma kuwepo na muungano wa ulaya. Tukilinganisha na EAC basi kenya ndio yenye uchumi mkubwa na ndio inayohamasisha kuwepo EAC. Lakini ujue kitu kimoja hata huko EU kuna mataifa hayakubaliani na kila kitu, mfano: Free movement of people and Capital, Uholanzi ilikataa na haijasaini mpaka leo, Common currency (Euro), Uingereza imekataa. Hali hiyo ni sawa na EAC kuna mambo sie tumeyakataa i.e free movement of people na property ownership, tofauti ni kuwa ulaya wanakubaliana kutofautiana lakini huku wenzetu hawatuelewi wanataka tukubaliane na kila kitu.

3. Kama ulivyosema miaka ya 70 kenya hawakuona umuhimu wa kushirikiana na maskini Tanzania na Uganda wakaamua kuvunja EAc (wakifuata mawazo ya akina njonjo ambaye natofautiana sana nae kimtazamo), baada ya hapo Tanzania ikageukia kusini ambako ikaweka nguvu kubwa. Sasa hali imebadilika Kenya wanaihitaji Tanzania lakini ujue kuwa Tanzania sio uwanja wa wakenya kurekebishia makosa yao, hatuwezi kuigeukia EAC tukaacha SADC kwasababu tu kenya wanahitaji EAC, tunachoangalia ni kwa jinsi gani sasa tunafaidika na SADC na jinsi gani tunafaidika na EAC, kwa matazamo wetu free movement of people and goods, free property ownership na security protocol waliyokuwa wamesuggest mwanzo haitulipi ndo maana tumeikataa kwahiyo tusilalamikiane tukipandisha ushuru ukizingatia kuwa taifa ambalo liko honest haliwezi kutangaza uongo kuwa kilimanjaro iko kenya.

Kuhusu sie kuwa samaki wadogo ktk SADC nadhani sio hoja, Hata kama sie hatuna bidhaa za kuuza SA lakini SADC sio SA lakini tunauza ktk nchi nyingine na ukizingatia ktk SADC uchumi mkubwa ni SA inafuata Angola kisha Tanzania ina maana ukiondoa SA tunauza ktk nchi 14 zingine. Ktk EAC tunauza ktk nne huoni kuwa hata soko la SADC ni kubwa sana kulinganisha na EAC?

Binafsi hakuna mahali ktk post zangu nimesema EAC ivunjwe, acha iwepo lakini tutakuwa tunafanya vitu tunavyoona vinatufaa sie sio kwaajili ya kufurahisha wakenya. Aidha suala la bidhaa feki ni tatizo usimamizi mbovu wa serikali yetu na bidhaa feki zipo kutoka kila mahali hata kenya na hata zingine hutengenezwa humuhumu nchini kwahiyo hilo haliwezi kuwa tatizo la SA.

Kuhusu kuwachangamkia wazungu na kudharau waafrika, hilo ni tatizo sugu ambalo liko kila mahali na kenya ndio limezidi maana wakenya wanadiriki kujisifu kuwa nchi yao inapendwa na wazungu kuliko nchi zingine. Fanya simple research tafuta project kulipo na watanzania na wakenya halafu kuna wazungu pia uone nani atakuwa akijipendekeza kupita kiasi kwa wazungu, wakenya wanajipendekeza mpaka wanatia aibu sana nimewahi kujionea mwenyewe.

Mwisho xenophobia ipo kila mahali wageni kuuwawa SA sio kigezo ya kuona tutafukuzwa SADC na wala Tanzania haiwezi kufukuzwa SADC. Hata EAC watu wakienda nchi nyingine wananyanyaswa tofauti ni digrii ya kunyanyaswa. Hata EU watu wa ulaya mashariki wananyanyapaliwa na wanapoenda magharibi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
(7) Tripartite Agreement on Road Transport between the Government of the
Republic of Kenya, the Government of Uganda and the Government of the
United Republic of Tanzania (Arusha, 2001)

The Tripartite Agreement is to be implemented according to the East African Community
Development Strategy 2006–2010. Article II provides that the objectives of the agreement are to
(a) promote, regulate, and facilitate traffic flow through transit routes by handling regional trade
through the partner states’ territories with a view to achieving a fair distribution of road
transport services; and (b) minimize the incidence of customs fraud and avoidance by taking all
the necessary measures to ensure expeditious and secure movement of traffic, avoidance of
unnecessary delays in the movement of goods, and the simplification and harmonization of
relevant documentation and procedures. Rather than adopting a free market approach, Article IV
limits market access based on permits/licenses to be issued to carriers. Article V limits operation
of the agreement to designated ports of entry and routes authorized for international operations.
Sorry Mzalendo nioneshe ni wapi paliposema tunatakiwa kupunguza ushuru au hatutakiwi kuongeza ushuru. Kwenye post yako naona agreement inahusu kurahisisha upatikanaji wa permits/licenses na kuepuka ucheleweshaji wa kusafirisha mizigo usio kuwa wa lazima. Kwani kupandisha ushuru kunachelewesha usafirishaji wa mizigo? ukilipa unaruhusiwa haraka kupita.
 
Bwana Kibona, sisemi kuna mahali katika hii agreement inasema hamna haki ya kuongeza ushuru, bali pia katika the same article inasema kuwa lazima kuwe na harmonious type of permit issuance. Wakati watu wanalalamika, si dalili kwamba the cart is trying to jump before the horse. Many things albeit those that happen at the border, I believe do without much consultation with your local authorities huko. Kwa hivyo inakaa tulikwamia kwa permits tu na hatukujaribu kuendeleza recommendations

BTW this below is the full clause my friend

The Tripartite Agreement is to be implemented according to the East African Community
Development Strategy 2006–2010.
Article II provides that the objectives of the agreement are to
(a) promote, regulate, and facilitate traffic flow through transit routes by handling regional trade
through the partner states' territories with a view to achieving a fair distribution of road
transport services; and (b) minimize the incidence of customs fraud and avoidance by taking all
the necessary measures to ensure expeditious and secure movement of traffic, avoidance of
unnecessary delays in the movement of goods, and the simplification and harmonization of
relevant documentation and procedures. Rather than adopting a free market approach, Article IV
limits market access based on permits/licenses to be issued to carriers. Article V limits operation
of the agreement to designated ports of entry and routes authorized for international operations.
Article VI(2) identifies the following transit routes: (a) Mombasa–Nairobi–Kampala; (b)
Mombasa–Horohoro–Tanga–Dar es Salaam; (c) Dar es Salaam–Arusha–Namanga–Kajiado–
Nairobi; (d) Namanga–Arusha–Dodoma–Iringa–Tunduma; (e) Nairobi–Isebania–Musoma–
Mwanza–Biharamulo; (f) Mombasa–Voi–Taveta–Holili–Moshi–Arusha; (g) Dar es Salaam–
Dodoma–Isaka–Mutukula–Masa–Kampala; (h) Mbarara–Kikagati–Kayanga–Bukoba; (i)
Nfutukula–Kigoma–Tunduma; (j) Mbale–Moroto–Lodwar–Wamurupulh-route; and (k)
Nakuru–Kisumu–Busia–Kampala. Article VII(b) provides that the partner states undertake to:
(a) keep documentation and procedures under continuous review in order to simplify and reduce
them; (b) align their documentation and procedures to those of larger regional organizations to
which the partner states are members; (c) harmonize as far as possible commodity codes and
descriptions with those commonly used in international trade; and (d) look for possibilities of
harmonizing, rationalizing, and merging control and license/permit issuing bodies for the
purpose of minimizing difficulties and diversity. Article IX(d) provides that the partner states
shall harmonize relevant technical standards on, but not limited to (a) safety and fitness of
vehicles; (b) dimensions of vehicles and vehicle combinations; (c) loads on vehicles; (d) traffic signs including traffic signals, road signs, and markings; and (e) road and bridge design
standards. Article IX provides for mutual recognition of roadworthiness certificates. Article X
provides for a Joint Technical Committee to meet four times per year to manage implementation
of the Agreement; it also calls for the Joint Technical Committee to establish Route
Management Groups. Article XII(6) provides that the partner states will agree to implement a
harmonized cross-border road charging system or road transit charges that shall be reviewed as
the need arises in a framework acceptable to all partner states. Article XIII(2) provides that visas
will not be required by nationals of any of the partner states for entry into the territory of the
other partner states. The agreement is reasonably comprehensive, although it: (a) does not
provide for a customs transit and inland clearance regime for goods, or a customs temporary
importation for containers; (b) does not address mutual recognition of driving licenses or
multimodal carrier licensing/liability regimes; and (c) does not provide the details of singlestop/single-window border crossing inspection.
 
Sorry Mzalendo nioneshe ni wapi paliposema tunatakiwa kupunguza ushuru au hatutakiwi kuongeza ushuru. Kwenye post yako naona agreement inahusu kurahisisha upatikanaji wa permits/licenses na kuepuka ucheleweshaji wa kusafirisha mizigo usio kuwa wa lazima. Kwani kupandisha ushuru kunachelewesha usafirishaji wa mizigo? ukilipa unaruhusiwa haraka kupita.

Bw Kibona hulka ya hawa jamaa ni ku-incite hate na to prove my point nakukuhakikishia lazma mwaka huu watapigana tena kwenye Uchaguzi sababu kubwa ni media yao maana wakiwa ndani ya nchi yao ethnicity is the order of the day wakitoka beyond the borders wanakuwa nationalists! We angalia jinsi media yao ilivyo biased! what they r trying to portray is Tanzanian market is non function-able and segregating ati our Market prefer SA goods than Kenyan but ask them which brands was Deacons selling? 80% where South African brands! To be fair enough these dude are jokes of the day they should come up with a more convincing story why their deacon failed otherwise i should start doubting the knowledge Kenyan marketers have on playing on a new field that is full of competition!
 
Bw Kibona hulka ya hawa jamaa ni ku-incite hate na kukuhakikishia tu lazma mwaka huu watapigana tena kwenye Uchaguzi maana wakiwa ndani ya nchi yao ethnicity is the rule of the order wakitoka beyond the borders wanakuwa nationalists! We angalia jinsi media yao ilivyo biased! what they r trying to portray is Tanzanian market is non function-able and segregating ati our Market prefer SA goods than Kenyan but ask them which brands was Deacons selling? 80% where South Africans brand! to be fair enough these dude are jokes of the day they should come up with a more convincing story why their deacon failed otherwise i should start doubting the knowledge Kenyan marketers have on playing on a new field that is full of competition!

Deacons failed and Woolworth as well confirm Pls, with the latter being non Kenyan, and also the latter failed in the UK correct if wrong.
 
stop that illusion here! Woolworth can never be a Kenyan brand it is South African brand and in Tanzania and Uganda is trading under W-stores a partnership btn a Tanzanian Mr Mufuruki and the Wool Worth SA/Plc of which is South African! uende shule ujue issues na sio kudhani kila kitu ni mali ya Kenyans! check here and here! And pls don't argue things if u don't know them cause u look stupid a tendency many of Kenyans in here demonstrate! FYI Walmart has acquired Woolworth...
 
Back
Top Bottom