Kenya - Tanzania border closed over row on vehicle levy

stop that illusion here! Woolworth can never be a Kenyan brand it is South African brand and in Tanzania and Uganda is trading under W-stores a partnership btn a Tanzanian Mr Mufuruki and the Wool Worth SA/Plc of which is South African! uende shule ujue issues na sio kudhani kila kitu ni mali ya Kenyans! check here and here! And pls don't argue things if u don't know them cause u look stupid a tendency many of Kenyans in here demonstrate! FYI Walmart has acquired Woolworth...

could be you do not take time to read and understand my posts, that is what happens when people who are from vijiweni taking coffee and mandazi downtown come to try to contribute to topics that entail deep subjects. reread my last post and then come with your supportive posts
 
who is Maandazi guy here? u didn't even know who owns Woolworth in Tanzania but still u argued! And u mentioned Wool mart something that does not exist! you showed ur empty-pigheadedness!
 
Watanzania tunadai tuna rasilimali nyingi sana kuliko Kenya na kwamba tusiwape nafasi kufaidi hizo rasilimali. Lakini rasilimali hizo hizo zinaliwa na makampuni ya ulaya na marekani hasa kwenye sekta ya madini. Kinachonishangaza, hawa hatuwaongelei hawa.

Kuna watu wamegusia kuwa SADC ni bora zaidi ya EAC. Inawezakana kuwa kweli au isiwe kweli, lakini ukweli ni kwamba tunakula matunda ya Afrika Kusini kwenye supermarkets wakati yetu yanaozea mashambani. Pamoja na kuwa na maeneo makubwa ya maji bado tunakimbilia samaki wa kwenye maboksi kutoka Afrika Kusini.

Ni miaka mingi sasa imepita tunaambiwa kuwa nchi yetu ina rasilimali nyingi sana. Lakini so far hatuoni mwananchi wa kawaida akinufaika na hizo rasilimali. Sisi wenyewe hatuna uwezo wa kutumia hizo rasilimali kujiendeleza. Badala yake, tumeziacha kwa makampuni ya kizungu wavune kadri watakavyo.

Watanzania tuwe more ambitious, driven na committed kama Wakenya. Angalia most of the international organisations and the world heavy weight media companies yamejikita Kenya. Kwa nini? Kama kuna sababu, kwa nini basi na sisi tusitenegeze mazingira ili makampuni makubwa kama hayo hasa in the current world of information and technology kuja kuwekeza Tanzania pia?

Huwa najaribu ku-imagine kama tungekuwa na hayo matatizo ya kikabila ambayo Kenya wanadaiwa kuwa nayo, si tungekuwa worse zaidi ya hata Wakenya walivyo sasa? Hata hivyo, hata hapa kwetu tatizo la ukabila na mbaya zaidi la udini yanashamiri kwa kasi. Pamoja na hayo matatizo waliyonayo, lakini Wakenya wanaonekana wana vsision ya mbali zaidi yetu. Hata hapo Rwanda tuu wamekuwa na matatizo kibao lakini speed yao kimaendeleo ni kubwa.

Of course, kuna areas ambazo, inabidi tujiwekee fence hasa kwenye masuala ambayo bado hatuna uhakika nayo. Lakini kama ni kuweka fence, basi tuweke fence kwa kila mtu. Sio, on one hand, tuna-advocate "ukitaka kula, lazima uliwe" policy, while on the other hand tuna promote protectionism. Ni bora tuchague moja kieleweke.

At the end of the day, ukweli utabakia kuwa ili Tanzania iweze kusonga mbele na kupambamaba ipasavyo at the global level inahitaji msukumo wa kibiashara na fikra za kimaendeleo. Lakini bila cooperation even with our own close neighbours, then we will be fighting a losing battle at the international level.
 
could be you do not take time to read and understand my posts, that is what happens when people who are from vijiweni taking coffee and mandazi downtown come to try to contribute to topics that entail deep subjects. reread my last post and then come with your supportive posts

Woolworth and Truworths are two different clothing franchises both from SA. In the scope of the EAC market, the former is controlled by a Tanzanian businessman (Mr. Ali Mfuruki) while the latter is controlled by a Kenyan business (Deacons)...

Nadhani sasa umeelewa..:A S-coffee:
 
Watanzania tunadai tuna rasilimali nyingi sana kuliko Kenya na kwamba tusiwape nafasi kufaidi hizo rasilimali. Lakini rasilimali hizo hizo zinaliwa na makampuni ya ulaya na marekani hasa kwenye sekta ya madini. Kinachonishangaza, hawa hatuwaongelei hawa.

Kuna watu wamegusia kuwa SADC ni bora zaidi ya EAC. Inawezakana kuwa kweli au isiwe kweli, lakini ukweli ni kwamba tunakula matunda ya Afrika Kusini kwenye supermarkets wakati yetu yanaozea mashambani. Pamoja na kuwa na maeneo makubwa ya maji bado tunakimbilia samaki wa kwenye maboksi kutoka Afrika Kusini.

Ni miaka mingi sasa imepita tunaambiwa kuwa nchi yetu ina rasilimali nyingi sana. Lakini so far hatuoni mwananchi wa kawaida akinufaika na hizo rasilimali. Sisi wenyewe hatuna uwezo wa kutumia hizo rasilimali kujiendeleza. Badala yake, tumeziacha kwa makampuni ya kizungu wavune kadri watakavyo.

Watanzania tuwe more ambitious, driven na committed kama Wakenya. Angalia most of the international organisations and the world heavy weight media companies yamejikita Kenya. Kwa nini? Kama kuna sababu, kwa nini basi na sisi tusitenegeze mazingira ili makampuni makubwa kama hayo hasa in the current world of information and technology kuja kuwekeza Tanzania pia?

Huwa najaribu ku-imagine kama tungekuwa na hayo matatizo ya kikabila ambayo Kenya wanadaiwa kuwa nayo, si tungekuwa worse zaidi ya hata Wakenya walivyo sasa? Hata hivyo, hata hapa kwetu tatizo la ukabila na mbaya zaidi la udini yanashamiri kwa kasi. Pamoja na hayo matatizo waliyonayo, lakini Wakenya wanaonekana wana vsision ya mbali zaidi yetu. Hata hapo Rwanda tuu wamekuwa na matatizo kibao lakini speed yao kimaendeleo ni kubwa.

Of course, kuna areas ambazo, inabidi tujiwekee fence hasa kwenye masuala ambayo bado hatuna uhakika nayo. Lakini kama ni kuweka fence, basi tuweke fence kwa kila mtu. Sio, on one hand, tuna-advocate "ukitaka kula, lazima uliwe" policy, while on the other hand tuna promote protectionism. Ni bora tuchague moja kieleweke.

At the end of the day, ukweli utabakia kuwa ili Tanzania iweze kusonga mbele na kupambamaba ipasavyo at the global level inahitaji msukumo wa kibiashara na fikra za kimaendeleo. Lakini bila cooperation even with our own close neighbours, then we will be fighting a losing battle at the international level.
kwani za Kenya nani anakula au kasumba yako ya kipuuzi hapa unakufanya uropoke? chunguza mambo kwanza ujue undani wake unajua Kenya wana migodi pia! hebu uliza the strategic earth metals zao nani wanamiliki au titanium deposits zao nani wanamiliki au their gold deposits (though small) nani anamiliki!? Pia uliza flower and tea industry yao nani wanamiliki Kenya! Ukiacha ardhi yao! Nakushauri auche short-sightedness yako kama hujui jinsi back-stabbing inayoendelea kwenye hii EA block! Wewe kama Mtanzania ukitaka kumiliki mgodi Kenya utakutana na hurddles the same way Wakenya wanakutana nazo TZ though in TZ at a lower level! tatizo la hawa jamaa ni Wanafki na wanatumia media zao ku-victimize competitors! Kenya as a country haina muscles to invest in the larger EA block ila wanachofanya ni ku-act kama an argency of foreign companies while trying to invest in the wider EA block! we angalia makampuni mengi wanayosema ni ya kenya majority shareholders wao ni Britain/EU companies na in really sense these companies are just expanding and since incorporated in Kenya they look Kenyan! the likes of Haco Tiger brands, Unilever, KQ, EABL, Equity bank and even KBC look at their shareholding breakdown utakuta over 50% ya owners ni foreign equity funds au companies! I would rather be proud of a company like Bakhresa Group or Mac Group or Sumaria Group or Precision Air or Exim Bank or CRDB Bank or NMB Bank if expands since the shareholding break down show majority remains to be locals!
 
why are tanzanians so scared of kenyans? Inferiority complex or what? Anyway i have raised the issue with president kikwete and i hope that this will be resolved. Kenyans and tanzanians share a lot and there is no way tanzania will ever close itself to kenya. Never.

We are inter-married, we share common culture and ethnicity. I worked in kigoma where there was a tanzanian policeman who son was also a policeman in kenya. In 2003 we had a vice president in kenya whose brother was an opposition leader in uganda. Tanzanians are simply being idiotic throwing tantrums over the eac issue. And it is not the common tanzanians but just some well connected elites.
wakenya mnaitamani sana tanzania hamuipati ngo!!
 
kwani za Kenya nani anakula au kasumba yako ya kipuuzi hapa unakufanya uropoke? chunguza mambo kwanza ujue undani wake unajua Kenya wana migodi pia! hebu uliza the strategic earth metals zao nani wanamiliki au titanium deposits zao nani wanamiliki! Pia uliza flower and tea industry yao nani wanamiliki Kenya! Ukiacha ardhi yao! Nakushauri auche short-sightedness yako kama hujui jinsi back-stabbing inayoendelea kwenye hii EA block! Wewe kama Mtanzania ukitaka kumiliki mgodi Kenya utakutana na hurddles the same way Wakenya wanakutana nazo TZ though in TZ at a lower level! tatizo la hawa jamaa ni Wanafki na wanatumia media zao ku-victimize competitors! Kenya as a country haina muscles to invest in the larger EA block ila wanachofanya ni ku-act kama an argency of foreign companies while trying to invest in the wider EA block! we angalia makampuni mengi wnayosema ni ya kenya majority shareholders wao ni Britain/EU companies na in really sense this companies are just expanding and since incorporated in Kenya they look Kenyan! the likes of Haco Tiger brands, Unilever, KQ, EABL, Equity bank and even KBC look at their shareholding breakdown utakuta over 50% ya owners ni foreign equity funds au companies! I would rather be proud of a company like Bakhresa Group or Mac Group or Sumaria Group or Precision Air or Exim Bank or CRDB Bank or NMB Bank if expands since the shareholding break down show majority remains to be locals!

It is in the very nature of us human beings to underrate and overate things based on their understanding. Your are militant in your expression I see, but these things you are saying seem to be well beyond your understanding. Tatizo ni kwamba Tanzania haijui change is inevitable. Foreign market trends, hamtaki kuyafanyia upelelezi kazi tu ni kulalamika mukishaona mkenya anajaribu kufanya biashara. Waakati mabadiliko inayoweza kufanya watu wafaidike inapojitokeza, bado hamtaki kungatuka kutoka kwa mikakati za zamani. munataka kukwamilia na kusema mwajua, ilhali hamjui. A company might get investors and shareholders to stay afloat and not kukimbilia serikali kama tunaona makumpuni mengi marekani na ugerumani zikifanya. Aka JPMorgan etc...etc...etc
 
Mabadaliko Tanzania hayawezi letwa na Nyang'au we nenda kawape sehemu ya kulala na mahindi IDPs au nenda ka-distribute maize huko Isiolo na usisahau ku-secure Migingo n ur Northern border kabla ya kuleta mabadiliko Tanzania! Arrogance yako ndo inayonifanya nikuite shenzytype! Unawezaje kufanya mabadiliko Tanzania wakati kwako kunakushinda! I will rather bring Kagame or Zenawi to fix things than calling a Nyang'au from an economy that struggles to reach 5% and having highest inflation in the region, screw u up...!
 
Mabadaliko Tanzania hayawezi letwa na Nyang'au we nenda kawape sehemu ya kulala na mahindi IDPs au nenda ka-distribute maize huko Isiolo na usisahau ku-secure Migingo n ur Northern border kabla ya kuleta mabadiliko Tanzania! Arrogance yako ndo inayonifanya nikuite shenzytype! Unawezaje kufanya mabadiliko tanzania wakati kwako kunakushinda! I will rather bring Kagame or Zenawi to fix things than calling a Nyang'au from an economy that struggles to reach 5% and having highest inflation in the region, screw u up...!

munapotazamia Meles na Kagame awafanyie vitu what does that say about your economy au Uchumi wenu ni ya ukoo mdogo au familia flani, watu wengine tuseme wametengwa?!!
 
as i said Tanzania has lowest percent of people under one dollar a day in the region at 37% (according to the WB) therefore the issue of economic disparity isn't that big! people can be poor but resourceful in terms of having land to cultivate and house to live in! Tanzania will need Kagame/Meles type of leadership to bring integrity and swiftness within our governing institution and hasten our economy growth! Our economy can easily grow over 10% if corruption is decreased! Kenya can not come to our assistance considering that ur corruption index is even worst than ours! we better not learning the way to run our economy from u!
 
Swala la vitambulisho kuondolewa EA zimezungumziwa sana katika mikutano za EAC, lakini ni tz haitaki kuondoa swala la vipande kutoka kwa their backyard, hawataki watu kutoka nje wazuru nchi hiyo bila vikwazo. kwangu naona ni jambo la kusikitisha.
...Ukiondoa vitambulisho, how are you going to control bad things from overflowing across borders, say criminality?. Sisi sio wajinga, na tunajua lengo lenu. After all, kuna majambazi na wakora wakubwa sana Kenya. Hatutaki vurugu zenu!
 
Sasa anayemuhitaki mwenzake sana ni nani? Swala la kuingiza gari kwa dola 200 mbona ni rahisi sana .... watalii wanachajiwa dola 100 kwa siku wanapokuwa kwenye mbuga zetu ambaye hawezi kutoa hizo si abaki huko huko Kenya. hivi wanafikiri hizi barabara zilijengwa ili wao walete migari yao bure? magari yanayoingia tena hizo dola 200 ni ndogo ni vizuri waongeze ziwe 2000 kwa magari makubwa na 1000 kwa gari ndogo. Tunahitaji kuimarisha barabara zetu na watumiaji ndio walipie.
 
My first time ever to comment on JF, but I have been following the discussions on this forum and have in many ways benefited from the contributions by many of the bloggers here.

I thought the discussion in this thread was about the border being closed because of a decision (dunno how legal it is) by TZ authorities, which appears unreasonable ($200?!). If Kenya was to do the same, I bet the uproar that would result would cause a minor earthquake. I have visited TZ on a number of occasions, stayed in Arusha, Morogoro, Dar, Mbeya: it is without doubt a blessed country, with a gentle people who are courteous to a fault and have humanity left in them. One thing that I noticed is that there are more TZ cars in Kenya (even next to where I live, here in Nairobi) than there are Kenyan cars in Tanzania! I notice hundreds of TZ trucks daily on Haile Selassie Avenue, on Mombasa Road, laden with TZ produce, laden with tourists ... but much fewer Kenyan cars in TZ. I suspect it must be because Kenyan borders are notoriously hassle-free.

But whenever I see contributions by some of the bloggers here, led by one Geza Ulole (with his suspect figures, which usually obfuscate the fact that Kenya's GDP is almost twice that of Tanzania), I think it is good if they can tone down their rhetoric. These two countries (both of which are developing countries, but of which one is classed as an LDC) may not be close friends in the sense that Kenya and Uganda/Rwanda are, but need one another to trade and develop.

Tanzania may well one day become the EA's giant economy, if Kenya falters. Tanzania has abundant natural resources (natural gas, minerals, as well as the largest concentration of ungulates and big cats in the world) that no other EA country has: this can be used to leverage the economy and speed up the process of getting more and more Tanzanians out of poverty.

Go easy, friends!
 
We have mismanaged our resources, free gifts of nature,rasilimali ambazo zingeneemesha Taifa. Hatujashiba Kunde, sembuse choroko.
 
Wonder what happened to Reciprocity. Kenya has always extended hands of friendship to extent of waiving entry permit fee for EA citizen. EA citizen can now work or set up business in Kenya withought having to pay for work permit. Our response? snub kenya with $ 200 entry fee. Its time we styled up
 
Asante Ndugu......... Karibu sana.
For sure these 2 countries need one another to trade and develop.... But can we do away with insults?:A S-frusty:.
Some of us have zero tolerance when it comes to insults.

Let us face it, both Kenya and TZ are run by corrupt government officials( you call it "kitu kidogo" in Kenya).
So, does it matter if they charge $200 per border crossing? Surely it is very easy to cross for $20 without demanding a receipt? Do you know how many times have I forgotten my Passport, and yet crossed the border with very little hassle?
 
...Ukiondoa vitambulisho, how are you going to control bad things from overflowing across borders, say criminality?. Sisi sio wajinga, na tunajua lengo lenu. After all, kuna majambazi na wakora wakubwa sana Kenya. Hatutaki vurugu zenu!

vitambulisho si ndio vizuizi za dhamira mbaya ndani ya watu
 
Mr Straddler,

Those who are making the most noise about the fee increment and know how to howl and trade insults could be have never walked out of their borders. but it seems this whole issue is politicized and not careful to take care of people who who use the border frequently. This is the problem with African authorities. there can never be a distinction between straight policies and politics, both seem to be intertwined which should be a thing of the past and the current generation of leaders must be able to separate this two.
 
Sasa anayemuhitaki mwenzake sana ni nani? Swala la kuingiza gari kwa dola 200 mbona ni rahisi sana .... watalii wanachajiwa dola 100 kwa siku wanapokuwa kwenye mbuga zetu ambaye hawezi kutoa hizo si abaki huko huko Kenya. hivi wanafikiri hizi barabara zilijengwa ili wao walete migari yao bure? magari yanayoingia tena hizo dola 200 ni ndogo ni vizuri waongeze ziwe 2000 kwa magari makubwa na 1000 kwa gari ndogo. Tunahitaji kuimarisha barabara zetu na watumiaji ndio walipie.

$100 katika mbuga za wanyama, na nikitazama nitaona pesa hizo hauwezi kuifatilizia, uone inatumika vipi wala watoza kodi hiyo hawawajibiki kuleta mabadiliko katika sehemu za mbuga na wale wanaokaa karibu na hizo mbuga. Musiwe na tamaa ya pesa.

Usidanganyike kwamba hizo pesa mnaokota zitatosha kujenga na kupanua barabara zenu. Ndio maana unaona hapa Kenya vitu kama toll stations zilipigwa marufuku, ingawa CCN inataka kufufua hiyo scheme kisirisiri. Kodi hamjaanza kuokota jana, lakini utaona kuwa bado barabara ni mbovu, swala ni hamna watu wenye kuwajibika. utakuta tena pesa hizo zinafaidi wachahe tu.
 
Wonder what happened to Reciprocity. Kenya has always extended hands of friendship to extent of waiving entry permit fee for EA citizen. EA citizen can now work or set up business in Kenya withought having to pay for work permit. Our response? snub kenya with $ 200 entry fee. Its time we styled up

In International Trade we call that 'concession which are non concessions', one offers opportunity which is not there, so that you reciprocate with an offer which is real and hurts your economy. Yes, you do it together with Rwanda, but again there is notrhing in your countries. No good land, barren land, no minerals, no what, no what..no nothing. If it was good over there, why you resenting, why deserting your countries to TZ. We clever yo!
 
Back
Top Bottom