Kenya sasa bampa kwa bampa, wakitoa mguu tunaweka!

nyef nyef pang'ang'a nyingi mavi ya kuku as usual from tanzania

mezeni wembe
By October this year, Uganda will have closed the financing agreement for the construction of the first phase - Malaba to Kampala - of the Standard Gauge Railway (SGR), an official has revealed.

Eng Kasingye Kyamugambi, the SGR project coordinator said the government has prioritised the 273Kms Malaba – Kampala route, which is expected to cost $2.3 billion (Shs7.6 trillion).

“By the end of the 2016/17 financial year, we expect to have started construction. The expectation is that we shall have financial closure with China’s EXIM Bank by the end of October 2016,” Mr Kyamugambi told reporters last week.

and you bongolalas always forget to invest in human capacity building. you are getting another rail line yet none of you bothered to question about the training of locals. once again tanzania sleep on the important stuff and kenya doesnt. that tanzanian and ugandan sgr will end up employing kenyans in one capacity or another because kenya invested in its people unlike tanzanians and ugandans

this is what it is like to invest in your people.
China will assist Kenya to become the regional training hub for railway professionals in east and central Africa, a government official said on Monday.

Permanent Secretary in the Ministry of Transport and Infrastructure Irungu Nyakera told media in Nairobi that the China Road and Bridge Corporation (CRBC) will provide a grant of 10 million U.S. dollars to upgrade Kenya's Railway Training Institute (RTI).

Already ten lecturers from RTI are in China to receive training on railway engineering, and another 40 lecturers are expected to go in the coming months to China for similar trainings, according to Nyakera.
 
Boy, si u are obsessed (with Kenya)!

Hiyo yote ya kupita Kenya ni sawa, lakini I hope the key malengo hapa ni kuboresha hali ya kiuchumi pamoja na the standards of life of the pipo of Tanzania, the aim isiwe tu kuwapiku wakenya. Otherwise, if Tz's goal is that narrow, ati to overtake Kenya, then it's doomed to fail.

Kenya pia inapiga hatua kubwa sana kujiendeleza; na pia haya mataifa mengine ya AM. Kwa hivo, miaka ya usoni, nchi hizi zikipata kutimiza malengo zao za kimaendeleo, itakuwa ni hadhi kwetu sote.
Lengo, iwe maendeleo yetu na faida tutazopata, kuipita inchi nyingine, iwe matokeo.
Hapa, inaonyesha lengo ni kuipita nchi fulani, maendeleo yawe ni matokeo, hata kama huendi mbele, huyo unayejifananisha naye, kwa bahati mbaya akaanguka kiuchumi, akawa nyuma yako, utaridhika, hata kama wewe hujapiga hatua! Tuache kuhesabu vibovu vya wenzetu, na kulinganisha na vyetu tunavyotaka kutengeneza (kwa sasa, wala havipo) hatujui wenzetu wamejipaje.
 
Wamejipaje = wamejipangaje.
 
Muda unakaribia wa Tanzania yetu kuwa the largest economy in the region kuchukuwa nafasi ambayo sasa hivi inashikiliwa na nchi ya Kenya tangu Ukoloni!

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuipita nchi ya Kenya kiuchumi na sasa kujitayarisha kuwa the largest economy in Afrika kila kitu tunacho, tulikuwa tunakosa Rasilimali watu, Uongozi bora na thabiti tu!

Sasa Rasilimali watu inakuja, tunawaandaa sasa vijana wa Kitanzania to take on the World, hivi sasa University hakuna kila Admission University kama hauna high grades, kwa maana hiyo we take only best students!

Utaona kila nchi ya Kenya wanapotoa mguu sisi tunakanyaga tena kwa mguu mkubwa zaidi, wamejenga SGR mwisho 120km/saa sisi tunajenga zaidi ya kilometa 2000 na uwezo wa kwenda mpaka 140 km/saa, kila Kiwanda kilichoko Kenya sasa kimerudiwa hapa Bongo na kwa ubora zaidi hata Maua industry ambayo ilikuwa nonexistent miaka 10 iliyopita hapa TZ kwetu leo hii Arusha inafanya vizuri na uwezekano wa kufanya vizuri zaidi upo baada ya nchi ya Kenya kutakiwa kulipia kodi kwa export ya maua huko Ulaya mpaka karibia 20% wkt sisi ni tax free hili tukijipanga vizuri linaweza kuleta Wakulima wa maua Kenya ktk kuja kuwekeza Arusha yetu!

Kenya Airways inaumwa na iko hoi ina madeni mpaka utosini sisi tunaanza kufufua Air Tanzania yetu!
Ikumbukwe Kenya inatumia pia fedha nyingi kuwekeza kwenye military hivyo kunyima sehemu nyingine fedha na hiyo ni sumu kwa ukuaji wa uchumi lkn ni lazima wafanye hivyo kwa sababu ya wanapigana proxy war kwa ajili ya Israeli na USA!

Hivyo habari ndiyo sasa hivi ni bumper to bumper mpaka tuwakute na kuwapita
and it will happen sooner than youmight think!
Mtazamo wako tu.
 
Angola wamekopa China hadi wameshindwa kulipa. Sasa hivi Luanda ni Beijing ya Afrika.
Tuwe makini watanzania, hawa wachina sio watu. Wakiingia huwatoki na sio waoga kama wahindi.
 
In fact Tanzania would've been a middle income country by now, were it not for the steep rise of the dollar the other day!
Ukweli mchungu Kenyans.
 
In fact Tanzania would've been a middle income country by now, were it not for the steep rise of the dollar the other day!
Ukweli mchungu Kenyans.
kwani iyo dollar ilipanda tz peke yake.....tafuta sababu ingine wewe
 
Kila hoja kuipita kenya tu.kweli kenya tishio africamashariki .nilisema tu kuigaiga mambo ya kenya si vyema anzisheni yenu ata kenya iige c kila kitu tutaipita kenya
 
nyef nyef pang'ang'a nyingi mavi ya kuku as usual from tanzania

mezeni wembe

and you bongolalas always forget to invest in human capacity building. you are getting another rail line yet none of you bothered to question about the training of locals. once again tanzania sleep on the important stuff and kenya doesnt. that tanzanian and ugandan sgr will end up employing kenyans in one capacity or another because kenya invested in its people unlike tanzanians and ugandans

this is what it is like to invest in your people.

..LOL.

..U r funny.

..the issue of training local Tanzanians has been addressed . It was reported by the Tanzanian official who signed the loan agreement on behalf of the gov.'

..Dar to Kapirimposhi (Zambia) was the first big railway project implemented by the Chinese in Africa.

..mambo ya capacity building, technology transfer tuna experience nayo.

..however this project is too big. Kwa hiyo siyo vibaya waganda, warwanda, warundi, wakenya, south sudanese, wakiajiriwa ktk project hiyo.

..SISI NI NDUGU.
 
Mada kama hizi huwa ni vituko kweli, maana huwa zinadhihirisha jinsi Tanzania itakawia kwa muda mrefu kabla inusie nyuma ya Kenya. Yaani eti kila hatua yao huwa inafuata nyayo zetu, tukiondoa wanaweka.

Hawana malengo kama taifa kabisa, hawajui baadhi ya hatua zetu huwa tumeziandaa kwa ajili ya nchi yetu na ukifuata kama kipofu utaishia kubaki nchi kubwa yenye madini ya kila aina na ardhi kubwa yenye rotuba lakini maskini wa mwisho.
Tutaona.......na tukisha maliza hivi vyote tunaanza kuchukua na mademu zenu na dada zenu wote tunawaleta tanzania......maana mlituanza wenyewe na tabia mbaya ya kutangaza rasilimali zetu utazani ni zenu wanga wakubwa nyie............
 
Boy, si u are obsessed (with Kenya)!

Hiyo yote ya kupita Kenya ni sawa, lakini I hope the key malengo hapa ni kuboresha hali ya kiuchumi pamoja na the standards of life of the pipo of Tanzania, the aim isiwe tu kuwapiku wakenya. Otherwise, if Tz's goal is that narrow, ati to overtake Kenya, then it's doomed to fail.

Kenya pia inapiga hatua kubwa sana kujiendeleza; na pia haya mataifa mengine ya AM. Kwa hivo, miaka ya usoni, nchi hizi zikipata kutimiza malengo zao za kimaendeleo, itakuwa ni hadhi kwetu sote.
well said my brother......but still we have to kick your butts Kenyans in every way possible............
 
Damn! These Bongolalas! Nyinyi league/target yenu inafaa kuwa zaidi ya South Africa..... maana mna natural resources, madini , gesi, nchi yenye rotuba ya kulisha Africa Mashariki,kila kitu. Lakini mnalenga Kenya. You're aiming at the stars but you're looking at the sun.

By the way,mtatufikia tukiwa tumekenua meno tu ama nasi tutakuwa tukisonga????
You keep loud mouth that crap of yours but know it that this time its serious........we aim for more and for the best........we are coming to the top....step away ......buzz off
 
Back
Top Bottom