Kenya faults Tanzania over tour van charges

Lets improve our Infrastucture. Kenya wanatushinda katika hili kwa kuwa na Airport nzuri na Mahoteli mazuri tuache kujidanganya kuwa wakenya wanasema Mlima Kilimanjaro uko kwao kwa dunia hii ya utandawazi nani atadanganywa kipuuzi hivyo what i understand most of the tourist do thorough research before travelling to the tourist destination and it is undisputed facts that Mt Kilimanjaro is in Tanganyika. Siasa uchwara za bongo ndio zinatufikisha kwenye agenda za kijinga kama hii nipo katika sekta ya utalii na naongelea kile ambacho nimekifanyia utafiti kuna wageni wengi haswa wanatokea Ulaya ya Asia wanashindwa ku land JNIA na JRO simply because it is too expensive namaanisha ni rahisi sana mgeni kutua Nairobi JKIA na ku connect flight whether KQ or PW na ku land JRO or JNIA au kuchukua shuttle kwa wale wanaoanzia safari zao Arusha na Moshi to be honest on this serikali yetu imeshindwa katika hili kwani idadi ya international flight in Tanzania haikizi mahitaji na yote hayo ni hevy taxation in aviation sector and poor infrastructure period.
 
kama mie pumbavu basi hata kibaki nae wale wale.....nyie watu ndio maana mnauana wa ukabila......

mdogo weee..... ikiwa una akili haijakoma/adolescent ya kitoto ya kutoweza kujadili kiustarabu afadhali uachie jamvi hili kwa wanaostahili au kama umepotea huna la maana kusema funga na uache domo domo
 
Back
Top Bottom