BabuK
JF-Expert Member
- Jul 30, 2008
- 1,845
- 329
Nadhani migongano hii ni mstakabali wa biashara ya Utalii ambayo kwa kipindi kirefu ilihodhiwa na Kenya wakati wa Tz walikuwa hawajaivalia kibwebwe kuanzia awamu ya Mama Megji kama waziri wa Utalii
Bodi ya Utalii Tz inajitahidi sana . hata ukizuru tovuti yao Tanzania Tourist Board | The Official Website of Tanzania Tourist Board utaona kwamba wanasema Tza ni nchi ya Mlima Kilimanjaro, Zanzibar na Serengeti. Kuna wakati walinunua airtime kutangaza utalii kwenye CNN ambayo inatazamwa dunia nzima.
Kama nilivyoandika kwenye makala mbalimbali juu ya migongano kati ya TZ na Kenya, tatizo kubwa ni kuaminiana na hii itachukua muda kwa pande zote kuanza kuongea lugha moja. Hii itakuja wakati Kenya itaacha mbinu ambazo Tz inaona ni za ujanja ujanja kwenye biashara na Tz itaona kwamba sasa Kenya inazingatia "fair business Practice" na kuleta win-win situation in "Fair Deal" na hivyo kuiamini kama mshirika sawa ( equal partner) na sio Big brother.
Kwa mfano kama gari la watalii lina abiria 16 ambao wakala wa utalii kenya kawatoza kila mmoja $ 200 hii kampuni ambayo inatozwa $ 200 kuingia Tz maana yake inapata $3000 poa kabisa kwa kucheza mchezo huu.
Kenya hawatozi magari yanayoingia Kenya kwa sababu mizania inaonyesha kwamba si magari mengi uilinganisha na yanayoingia Tz toka Kenya...Kwa hio wanatumia kama "mtama kwa kuku".
Tuendelee kubanana tutafika kama nia yetu ni moja!!!! Idumu EAC