Kenya faults Tanzania over tour van charges

erfan

Member
Nov 20, 2011
70
17
TANZANIA and Kenya are embroiled in another clash that will further hamper integration efforts over disagreement on charges on tour vans operating between the two countries. Tourism Minister Najib Balala has accused Tanzania of unfairly charging Kenyan tour vans for entering the country vans from Tanzania were not being levied any fees to enter Kenya. “This issue of tour operator vehicles should be resolved and I appeal to the president (Mwai Kibaki) to resolve this issue not only for the sake of Kenya but for Tanzania as well," said Balala at a media briefing held in his office.
He said allowing tourists to "freely flow" through the region by travels organised by regional tour operators will grow tourism in East Africa. Under the common market protocol businesses were supposed to operate in a borderless manner in which taxes subjected to foreign enterprises were to be abolished. This latest row among the two countries, Balala said, will be discussed in an upcoming East Africa Community Summit next week in a bid to reach a resolution.
This is not the first time Tanzania has clashed with Kenya as local truck drivers also complained of unfair levies at Tanzanian border points whereas their counterparts from that country were allowed free entry into Kenya. The latest move that could affect regional growth in tourism could also scuttle ongoing plans for a single tourist visa for the EAC region to make the destination more marketable. On the visa, Balala said that an announcement would be made soon on the status of the project.
SOURCE
 
Nadhani ule ujinga unaanza kupungua, EAC haitakiwi kuwa platform you kutu-exploit watanzania. Nadhani ni smart move. Haiwezekani mtalii akamuliwe Kenya aje Tanzania mweupe, kisa EAC.
 
Embu jamani kama kuna uwezekano hizo eac agreement tupewe tusome maana usikute kama kawaida watu walisign bila kusoma kumbe hata wananchi wameuzwa.breaking a legal agreement or contract is expensive,
 
Basi hao tour operators wa Kenya wasije Tanzania kwani lazima? Si wana mbuga zao, na hata Mlima Kilimanjaro uko 'Kenya'? Sasa wanatafuta nini hasa Tanzania? Kama vipi Kenya noa watoze ushuru magari ya watalii yanayoingia nchini mwao yakitokea Kenya. The truth is wanyama wengi wako Tanzania na ndio sababu tour operators wengi wanaleta watalii wao Tanzania.

Ezikiel Maige na Mzee Sitta, hakuna kuingia bure tena ongezeni ushuru, maana wanaharibu mazingira.
 
You guys need to stop letting your opinions be informed by prejudice...this is actually a bad thing for TZ as well!
...I will be interested to know if Balala had some talks on these issues with his counterpart, and they failed. Going to the press -he is politicizing the matter- will not help, as important and thorny issues like these are settled over the table.
 
Wapuuzi hao

walioona mbali walitahadhalisha. Yaani hawa jamaa wanataka mapato yaingie kwao aafu watalii waje kwetu bure! Sisi tusio na ajira tunategemea kusafirisha watalii tutapata wapi ajira? Yaani mbuga zetu, ushuru ulipwe kenya,magari yachukuliwe kenya! Huu si upuuzi? Hii kitu inabidi ivunjwe haraka.
 
..Tanzania isikubali ujinga huo.

..Kenya wanatangaza mlima Kilimanjaro uko kwao, sasa watalii wakifika mpakani na Tanzania na kudaiwa malipo, ndipo uwongo wao[wakenya] unapogundulika.

ACHA watangaze,kama wewe umelala na wao wanaona pesa inapita acha wapige pesa,sisi tumebaki kulalama,hata viongozi wetu hawaweki kipaumbele ktk mlima huo
 
Yaani hawa jamaa wanataka mapato yaingie kwao aafu watalii waje kwetu bure!
...This would have been possible if we were sharing revenues. Since we are not, its absurd.
Sisi tusio na ajira tunategemea kusafirisha watalii tutapata wapi ajira?
...Tunahitaji kujenga mazingira mazuri zaidi ya utoaji huduma katika sekta ya utalii. Halafu, Dar au Kili lazima iwe destination ya uhakika. Sasa, hii itawezekana kwa kuvutia kivitendo makampuni ya ndege zaidi, ambayo yatahitaji wateja wengi zaidi. Simply, lazima tuwe na uchumi mpana na vibrant.
Yaani mbuga zetu, ushuru ulipwe kenya,magari yachukuliwe kenya! Huu si upuuzi?
...Yes, it looks like it. Lakini economic and political history is at play. We need to reduce the trend.
Hii kitu inabidi ivunjwe haraka.
...Haiwezi kuvunjwa haraka.
 
ACHA watangaze,kama wewe umelala na wao wanaona pesa inapita acha wapige pesa,sisi tumebaki kulalama,hata viongozi wetu hawaweki kipaumbele ktk mlima huo

Eng.Mtolera,

..wacha wakenya watangaze.

..watalii wakifika mpakani tunawa-charge.

..hao watalii wakirudi kwao watatangaza ukweli kwamba mlima uko Tanzania.
 
..with regards to EAC documents, the Kenyans have been very smart in making sure all the documents are written in English.

..Tanzania tuna watu wengi kuliko nchi zote za EA halafu documents muhimu zinaandikwa ktk lugha ambayo wa-Tanzania wengi hawaimudu.

..hii nchi haina viongozi.
 
Why going to the press? Arent there proper channels to fwd this? Au anataka kupoliticize the issue.
Signing the agreement like that was a mistake
 
Back
Top Bottom