Kenani Kihongosi aongea na wanafunzi Singida

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
UVCCM TAIFA
2 MACHI, 2023
SINGIDA

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI

Picha na matukio mbalimbali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. KENANI KIHONGOSI amekutana na kuzungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge iliyopo Wilaya ya Singida Mjini Mkoani Singida

#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee

IMG-20230302-WA0498.jpg
IMG-20230302-WA0493.jpg
 
UVCCM TAIFA
2 MACHI, 2023
SINGIDA

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI

Picha na matukio mbalimbali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. KENANI KIHONGOSI amekutana na kuzungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge iliyopo Wilaya ya Singida Mjini Mkoani Singida

#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendeleeView attachment 2535224View attachment 2535225
Nini alichozungumza na wao?!
 
Duh, nilijua ni mafuriko ya mvua, nikaja speed kushangaa matendo makuu ya Mungu, kuwa Kama singida kuna mafuriko basi huu mwaka ni wa neema kubwa, kumbe dah
 
Jana mwenyekiti wao kule arusha alikosa hata watu wa kumpungia mikono.
 
UVCCM TAIFA
2 MACHI, 2023
SINGIDA

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI

Picha na matukio mbalimbali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. KENANI KIHONGOSI amekutana na kuzungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwenge iliyopo Wilaya ya Singida Mjini Mkoani Singida

#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendeleeView attachment 2535224View attachment 2535225
Bravo Lema

Huu mwaka lazima mfirisikeeee
 
Yaani kiongozi wa CCM inatembelea shule, watoto wa shule wanajazwa kwenye bwalo kinguvu halafu anawahutubia na kupiga picha, kisha anakuja mtandaoni kusema ni mafuriko!

Huo ni uwendazimu wa kiwango cha SGR.
 
Ati wanamjibu Lema
 
Back
Top Bottom