Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi kusikiliza changamoto za vijana tarehe 8 Septemba, 2022

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
700
851
UVCCM_ TAIFA
KESHO
SEPT. 08, 2022
UPANGA, DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana.

IMG-20220907-WA0294.jpg

VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee
 
Nonsense
, mikopo ya halmashauri kijana wa kiume ukivuka 35 yrs hupati lakini kijana wa kike akivuka 35yrs anaingia kwenye kundi LA wanawake na anapewa mkopo
 
Yeye mwenyewe anachangamoto ya kutaka ubunge wa Iringa mjini sijui aliwasiilisha kwa chongolo au mama yake au kinaña
 
UVCCM_ TAIFA
KESHO
SEPT. 08, 2022
UPANGA, DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana.

View attachment 2349364

VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee
Inasemekana kuwa Katibu Mkuu huyo wa umoja wa Vijana anatumia gari jipya aina ya Range Rover ya Mwaka 2020 ambalo inasemekana amehongwa na Diblo dibala
 
Diblo dibala yupo busy na magitar huko congo. Mnataka mkuu wa vijana aendeshe vibakuli acha mambo ya kichawi we mshana. Range hata 58m unapata, Sasa huyu alikimbiza mwenge tz nzima, amekuwa mkuu wa wilaya, mjasiriamali, Sasa ni CS wa UVccm, anakosaje 58m ya kujinunulia dungu akijichanga siku zote hizi?? Acheni hizo
 
Aisee!?
 
UVCCM_ TAIFA
KESHO
SEPT. 08, 2022
UPANGA, DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana.

View attachment 2349364

VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee
Udaku
 
Back
Top Bottom