fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Dhihaka kubwa kwa Nape na Kinana, Ni dhihaka ya Serikali dhidi ya Chama/CCM, Ni dhihaka kwa Wananchi wa Tanzania, ni dhihaka kwa wazazi ambao watoto wao walipata div zero, Ni dhihaka kwa wazazi ambao vijana wao walijiua kwa kupata div zero, ni dhihaka kwa wakulima kote nchini, ni dhihaka kwa sekta ya utalii, ni dhihaka kwa wafugaji na ni dhihaka kwa kile mwenye kumpigia kura JK, Je ni dhihaka kwa muhimili wa 4?? je wanataaluma wa habari wanaweza kumkataa Nkamia kuanzia kesho??? mpaka kieleweke???
Kama ameshindwa kusikia kilio cha wananchi,kilio cha watendaji wa CCM, je atasikia kilio cha nani??? Je ni kwa ubora upi Migiro na Nchemba wanabebwa kiasi hicho, maana kila mtu alijua migiro atapewa wadhifa, mbona kina mama mongela hawakupewa nafasi baada ya kuvuruga bunge la Afrika, iweje migiro??? wapo wengi tu iweje migiro kwa faida ya nani???
Juzi niliandika kuchangia uzi fulani hapa JF nikasema tunasubiri kituko kingine, je kwa hili kuna ubishi bado??? Kama mawaziri mizigo wameachwa tunategemea tena mabadiliko ya baraza kabla ya Okt 2015??? kama sio vizuri kufanya hivyo, je rais na ofisi yake wamefikiria nini???
Nawasilisha