Kejeli za Serikali ya CCM Zitamalizwa na Wananchi kuunga mkono CDM, sio vyama vya upinzani kuungana

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Dhihaka kubwa kwa Nape na Kinana, Ni dhihaka ya Serikali dhidi ya Chama/CCM, Ni dhihaka kwa Wananchi wa Tanzania, ni dhihaka kwa wazazi ambao watoto wao walipata div zero, Ni dhihaka kwa wazazi ambao vijana wao walijiua kwa kupata div zero, ni dhihaka kwa wakulima kote nchini, ni dhihaka kwa sekta ya utalii, ni dhihaka kwa wafugaji na ni dhihaka kwa kile mwenye kumpigia kura JK, Je ni dhihaka kwa muhimili wa 4?? je wanataaluma wa habari wanaweza kumkataa Nkamia kuanzia kesho??? mpaka kieleweke???

Kama ameshindwa kusikia kilio cha wananchi,kilio cha watendaji wa CCM, je atasikia kilio cha nani??? Je ni kwa ubora upi Migiro na Nchemba wanabebwa kiasi hicho, maana kila mtu alijua migiro atapewa wadhifa, mbona kina mama mongela hawakupewa nafasi baada ya kuvuruga bunge la Afrika, iweje migiro??? wapo wengi tu iweje migiro kwa faida ya nani???

Juzi niliandika kuchangia uzi fulani hapa JF nikasema tunasubiri kituko kingine, je kwa hili kuna ubishi bado??? Kama mawaziri mizigo wameachwa tunategemea tena mabadiliko ya baraza kabla ya Okt 2015??? kama sio vizuri kufanya hivyo, je rais na ofisi yake wamefikiria nini???

Nawasilisha
 
nimeona aibu sana baada ya MWIGULU na NKAMIA kuingizwa kwenye baraza la mawaziri .
 
Hivi tatizo la Mwigulu na Nkamia ni lipi hasa?

Hata kama unamahaba na ccm sasa umezidi...... Kwako uwaziri ni yeyote hata mweu? Kipindi cha BWM mtupu na mpuuzi kama nchemba hata nyumba kumi asingempa.....ni lini umewahi msikia nchemba akiongea any constructive point on economics....... Tuache utani rais ni mzigo....... The failure Migiro in UN leo anapewa wizara nyeti kama ya katiba na sheria wakati huu mhimu wa kuandika katiba mpya?only in TZ........ Kawambwa ni sababu wanatoka wote msoga or?
 
Ccyem ni chama legelege, na jey key ni dhaifu.

Huo ndio ukweli vijana wangu!

"chadema ni msingi ndio habari ya mjini na vijijini" .
 
Sasa na.hao chadema.waungwe mkono kwalipi la maana? ??!!!

Kama unakosoa uteuzi nakuunga mkono ila kuunga mkono chadema kwa lipi sasa ambalo wanaonesha uwezo kulifanya????!!!!

Kelele za jukwaani au M4C????!!!

Umeme umepanda wako kimya eti wanakusanya signature hivi nguvu iliyotumika kwa wanaoitwa wasaliti ingegeukia bei ya umeme mpaka leo tungekuwa hatujakinukisha kitaa????!!!!

Same old wine in two bottles with a difference in colour and labels!!!!!!
 
hata kama unamahaba na ccm sasa umezidi...... Kwako uwaziri ni yeyote hata mweu? Kipindi cha bwm mtupu na mpuuzi kama nchemba hata nyumba kumi asingempa.....ni lini umewahi msikia nchemba akiongea any constructive point on economics....... Tuache utani rais ni mzigo....... The failure migiro in un leo anapewa wizara nyeti kama ya katiba na sheria wakati huu mhimu wa kuandika katiba mpya?only in tz........ Kawambwa ni sababu wanatoka wote msoga or?

kijana nimekuteua kuwa shujaa wa wa mwezi huu wa kwanza.

Ona hawa macheki.bobu
 
kwa upumbavu wenu wa kujiona katika wapinzani nyi ndo wenye akili na kuwadharau wengine mtaishia pabaya,Historia inaonyesha vyama tawala vingi barani Africa vimetolewa baada ya wapinzani kuungana leo we unaleta uchadema wako hapa mtakufa chali subirini.
 
kwa upumbavu wenu wa kujiona katika wapinzani nyi ndo wenye akili na kuwadharau wengine mtaishia pabaya,historia inaonyesha vyama tawala vingi barani africa vimetolewa baada ya wapinzani kuungana leo we unaleta uchadema wako hapa mtakufa chali subirini.

kijana povu jiingi !

Vipi mgao leo naona haupo maana nap.e ana hasira na mkulu.

Usituletee kauli za kifisadi ,wakati wenzio tuna mioyo ya kiukombozi na kizalendo kwa taifa hili!
 
sasa na.hao chadema.waungwe mkono kwalipi la maana? ??!!!

Kama unakosoa uteuzi nakuunga mkono ila kuunga mkono chadema kwa lipi sasa ambalo wanaonesha uwezo kulifanya????!!!!

Kelele za jukwaani au m4c????!!!

Umeme umepanda wako kimya eti wanakusanya signature hivi nguvu iliyotumika kwa wanaoitwa wasaliti ingegeukia bei ya umeme mpaka leo tungekuwa hatujakinukisha kitaa????!!!!

Same old wine in two bottles with a difference in colour and labels!!!!!!

kilakitu kinaenda kwa awamu.
 
kghaaa!! eti cpo kwny baraza jipya na nlimkumbusha ucku kucha kwny tgo logaloga* kamueka ngamia na chemba!!! uozoooo
 
kilakitu kinaenda kwa awamu.

Sasa kelele za nini wakati mnajua ni awamu yao kufanya yao!!!!

Huwa mna majibu mepesi sana ndio maana nakosa imani nanyi ,nani anaamua kuwa sasa awamu ya nini????!!!!!

Wale wale tu wanasiasa hawana ukombozi kwa mnyonge!!!!
 
kijana povu jiingi !

Vipi mgao leo naona haupo maana nap.e ana hasira na mkulu.

Usituletee kauli za kifisadi ,wakati wenzio tuna mioyo ya kiukombozi na kizalendo kwa taifa

hili!

we unaweza mkomboa nani kwa mfano? ikomboe familia yako kwanza kutoka kwenye umasikini
 
Sasa na.hao chadema.waungwe mkono kwalipi la maana? ??!!!

Kama unakosoa uteuzi nakuunga mkono ila kuunga mkono chadema kwa lipi sasa ambalo wanaonesha uwezo kulifanya????!!!!

Kelele za jukwaani au M4C????!!!

Umeme umepanda wako kimya eti wanakusanya signature hivi nguvu iliyotumika kwa wanaoitwa wasaliti ingegeukia bei ya umeme mpaka leo tungekuwa hatujakinukisha kitaa????!!!!

Same old wine in two bottles with a difference in colour and labels!!!!!!
Hueleweki wa moto au wa baridi au vuguvugu!
 
Back
Top Bottom