Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 196
Nimeona leo kcm college wametoa majina ya undergraduate ( direct entry), haya hapa.Kilimanjaro Christian Medical University College | We Train Medical Health Professionals - Home
Lakini kwa wanaolijua hili naomba msaada kidogo.
Kwenye barua zao za offer wanataka ulipe 1Million kwa wale wa medicine, na nyingine km 415,000 hivi kwa prog. nyingine mbili hivi....Je hii inatokana na nini? Ni Ada, au ni malipo gani haya maana hayana ufafanuzi wowote na wanasema bila kulipa usisogee pale! Naomba msaada kwa wale wanaolijua hili.