KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

Lakini shati la jamaa lina mistari, sio vidoti. Halafu Sikonge kwani huoni hizo panty lines? Hiyo chupi bana

I agree with you mkuu. Kwanza toka lini rangi nyeusi ikareflect bana? How can a dark dress reflect a white shirt? Hiyo lazima itakua new theory of optics.
 
Balantanda,
Huyo anaitwa Fidela. Nasikia alikuwa anatafuta MUME. Fidela ni mtoto wa Kisukuma yule Nkwingwa na kama hujaowa, basi utakuwa nyumbani.

Hata kama umeowa, sisi ngosha mke mmoja wapi na wapi?

Julius, mcheki Nsia kwenye Hi5 kama wewe ni member.
 
I agree with you mkuu. Kwanza toka lini rangi nyeusi ikareflect bana? How can a dark dress reflect a white shirt? Hiyo lazima itakua new theory of optics.

Mkuu, screen za LAPUTOP nyingine wanazoita GLARE huwa zinareflect sana picha. Hii imekuwa tatizo kubwa hadi wameanza kuweka anti-glare. Cha ajabu ni kuwa huwa ni NYEUSI tiiiii............

Kigauni cha dada kina shine na kinaweza ku-relect image kutegemeana na materials yaliyotumika kutengeneza. Kama ni PAMBA basi kweli hakuna kitu.
Ila hilo chupi gani refu namna hiyo? Labda tuseme alikuwa kavaa SHIMIZI.
 
Sikonge kwani wewe huoni hiyo panty line?

Kwa wale ambao macho hayaoni vema Julius anachoongelea ni kama inavyoonekana hapa chini:

attachment.php
 
Attachments

  • KCB-2-R.jpg
    KCB-2-R.jpg
    57 KB · Views: 149
07.JPG

05.JPGjj.JPG

Mchana au Usiku??, hapakuwa na usalama nini mbona kila mtu na kipochi/simu mkononi ? sipendi kuamini walipitiliza kwenye shughuli hapakuwa na kubadili jezi, hasha, sijui ukumbini palikuwaje (masuala ya manukato ya asili).
Duhe hii KCB kama "Somalia" .....Hofu tele!
 
Mkuu, kwa kuwa kuna kiza mwelekeo ni kuwa ilikuwa late evening . . . .

Hakika watu wanacheza na handbags, simu nk. naona mama mwenye viatu vyekundu vya Red Shoes ameshika pia mfuko wa Rambo. Huenda alikuwa ametoka shopping . . . .

Big up KCB.
 
Balantanda,
Huyo anaitwa Fidela. Nasikia alikuwa anatafuta MUME. Fidela ni mtoto wa Kisukuma yule Nkwingwa na kama hujaowa, basi utakuwa nyumbani.

Hata kama umeowa, sisi ngosha mke mmoja wapi na wapi?

Julius, mcheki Nsia kwenye Hi5 kama wewe ni member.

Shaggy alikufundisha "say it wasn't me...."

kazi kweli kweli!!!!
 
kazi kweli kweli!!!!

Uwiii uwiii........

Simba mwenda kimya ndiyo mla nyama.

Huyu anayekuja hapa kusema anamtafuta Fidelia ni maneno tu. Na kuhusu Ngosha kuwa na mke mmoja, mbona wapo wengi tu na waaminifu sana kwa wake zao. Ngosha mara nyingi au ni kiwembe tangu asubuhi na utalifahamu hilo mapema na hapo usuke au unyowe au atakuwa mpole na mwaminifu kwa ndoa zaidi ya mke.

Hivyo usijali haya maneno ya watu unaandika huku umeshika BUYU la Heineken ....
 
mmmmh!!!! sina la kusema tena

Mhhhh,naogopa kucomment maana..........

comment tu hasira zimeisha nahisi nilikurupuka mpendwa.................
 
Back
Top Bottom