KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

1251874233_utalii_temeke_wakicheza.jpg
 
Kumbe wabongo wanapenda sana miduara dah!
Yaani wa mbele anakuja nyuma wa nyuma anaenda mbele wanapenda sana.
 
05.JPGjj.JPG


Cheki kikwapa kwa huyo mwenye top ya zambarau. Yuuuuuck. Anahitaji prescription strength anti-perspirant deodorant.
 
Mie naomba simu ya huyo dada wa Kikwapa maana atakuwa VERY HOT.......

Na ka weupe kake kale sijui ntalipa ng'ombe wangapi?? Ntapunguza kwa kikwapa.....
 
Mie naomba simu ya huyo dada wa Kikwapa maana atakuwa VERY HOT.......

Na ka weupe kake kale sijui ntalipa ng'ombe wangapi?? Ntapunguza kwa kikwapa.....

Watu wa kanda ya ziwa utawajua tu maana wanachenguka sana na weupe wa mademu
 
Lazima nikiri kuwa Wajamaica wameiharibu sana dunia.

Nyimbo zao nyingi za dancehall ni kuuwana na kufanya mapenzi. Mbaya zaidi wakiingia kwenye cheza yap ya DUTTY WINE. Kuna video nyingi za dutty wine ila naona muangalie hii ya huyu mjinga aitwaye Tony Matterhorn. Vituko kama hivi wanaangalia dunia nzima na matokeo ndiyo haya.

Huyo mama wa watu kashangaa kiasi kwamba haamini kwamba yupo Tanzania na kuwa mabinti wanacheza mbele za maboss wao. Huyo kijana na yeye anatumia formula kwamba so longer wanatoa chakula, lazima ule.......

SAUTI NI MBAYA SANA, samahani.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=japiVCbNJaY[/ame]
 
Watu wa kanda ya ziwa utawajua tu maana wanachenguka sana na weupe wa mademu

Mbona wewe ulikuwa unatafuta simu ya Nsia Swai na mie hata sikusema?

Leo kula mchuzi, ukijaliwa utakula nyama .......

Haya, wengi wamesikitika hii picha, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
 
Mhhhhhhhh...We haya wee Nkwingwa...Itabidi tuhamie kwenye jukwaa muafaka sasa mana hapa mhhhhhhhhhhh

Nkwingwa,

Siku hizi si nasikia hizo ni nguo za hashimakabisa. Akina dada wanaalika baba zao wakawaone wanapita na vichupi kwenye mashindano ya urembo. Nimeiweka hii picha kutokana na topic yenyewe na picha ya juu. Vinginevyo huwa najitahidi kutokuchanganya mambo na hata huwa mpinzani.

Ila hiyo chezaji juu ingawa dada kavaa kwa heshima, huwa ni kali zaidi. Yule mwenye nyeusi ndiyo anaweza kushock zaidi kwani mtu unakuwa na hamu uone zaidi. Huyu yeye ukiona mara moja tu, unamuachia Julius.

Julius, huyu mtu si anaishi Dar? Pana wakati kaka yake alijitangaza kuwa ana dada mzuri. Nafikiri ukitumia utoto wa MUJINI basi utampata kiurahisi. Au mwaga zawadi ya vidola kadhaa na washikaji watamsaka haraka sana.

Haya, wengi wamesikitika hii picha ya NSIA SWAI, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
 
Back
Top Bottom