Unaweza kuja Zanzibar? Kaz ipoHabari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
Hata wakiwepo ndugu,nenda mzee ukipambane ukishindwa mkuu anipe mm hiyo connection niende hukoZanzibar sina ndg yyte nitafikia wap
Mkuu kwani mlinzi si analala lindoni? Unafikia lindoni.Zanzibar sina ndg yyte nitafikia wap
Boti za usiku elf 20Nashukuru mkuu, nipo mara na nauli kutoka dar hd Zanzibar nishngp
Up to date iko wapi mkuu? Weka mawasiliano au address hapaSi bora aende "Up 2 date" alipwe 250K, ukibahatika kupangwa shamba kampuni inatoa malazi
Kafikia hata airport kwenye mabenchi nje ,au shuleni ongea na mlinzi mwenzio unaamka alfajiri kabla ya wanafunzi,ukipata kazi unapangaZanzibar sina ndg yyte nitafikia wap
YesIpo zanzibar
Iko Zanzibar, ofisi zao zilikuwa Kwerekwe pale sokoni. Sijajua kama wamehama, but bado kampuni ipo. Ukibahatika unaweza kupangwa lindo siku hiyo hiyo na hawana vigezo vingi wala.Up to date iko wapi mkuu? Weka mawasiliano au address hapa