Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

0624961695
Wasiliana na Hawa jamaa wanaitwa 2 tech security. Kazi utaipata na mshahara ni 180k. Makazi na chakula watakupa. Utahitaji barua ya utambulisho 1, wadhamin barua 2. Kopi ya cheti Cha kuzaliwa na la saba. Clearance form kutoka polisi na medical checkup sheet ya hospitali na passport saiz 6 na elfu Tano tu.

Hapokazi utaanza hata kesho ukikamilisha hivyo. Kuna vijana wako huko wanapambana wanafanya Kaz hoteli Moja inaitwa gold hotel iko nungwi wa humuhum jf. Ukija utaangalia angalia fursa zingine mana hiyo Kaz sio ya kufanya muda mref
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom