Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

Iko Zanzibar, ofisi zao zilikuwa Kwerekwe pale sokoni. Sijajua kama wamehama, but bado kampuni ipo. Ukibahatika unaweza kupangwa lindo siku hiyo hiyo na hawana vigezo vingi wala.
Kumbe wapo kama 2 tech tu. Nao wapo London pale Kwerekwe na unapangiwa siku hiyohiyo.

Ukij Zanzibar tutaftane bhasiii 🥴
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom