Kazi ya Kikwete ni kuhudhuria kila msiba?

Unashangaa nini, JK amezidi kuwepo kushiriki misiba. Inaonekana Rais anataka huruma ya wananchi waseme rais anawajali kwani anawasindikiza kwenye misiba. Kama wakuu wa mikoa wanamwakilisha katika matukio mbali mbali hili la misiba kwanini asiwakilishwe?
Halafu Leo tunamsema magufuli dah ndio tulivyo binaadamu

b018b7aeff69f38fcdb147ce6b107a06.jpg
 
kama ajali imetosha kutuma salamu....je si kwa mtumishi tungemshukuru sana kwa kuchagua moja kwenda kuaga au kuzika ..one of that..!!

haiwezekani kuhudhuria maziko ya ajali kwa kuwa hawazikwi kaburi la halaiki kama mv bukoba....lakini kama ni maziko ya halaiki mwaka jana walizikwa wale watoto wa shule karibu arobaini waliokufa huko mbeya kwa moto ....wale angeweza kwenda kwa kuwa ni wengi na walizikwa sehemu moja ...lakini tuliridhika na ujumbe alioutuma wa naibu waziri wa elimu!!

au wale watoto waliokufa Tabora ...hawakuzikwa pamoja...lakini tuliridhika na salamu zake na uwepo wa waziri kapuya!!!
Binadamu kazi
 
Ukielewa kiswahili vizuri hupati shida.
Nadhani neno "kila" linaitetea mada hii na aliyeileta.

Jamani hata kama tumetumwa kutetea basi sio kila jambo, tusitafute "excuse", kwa hili la msiba wa hawa malaika Rais wetu amekosea, tumwambie ukweli ni msiba mzito sana, alipaswa kutuongoza waombolezaji. Hata dunia inazungumzia pia msiba huu.
 
rais hakuwa na sababu ya kwenda kuzika same kwa huyu afisa usalama aliyefariki..kwani kitendo cha rais na mkewe kufika pale mikocheni nyumbani siku ya kuaga mwili wa marehemu...na kwakuwa inajulikana rais ni mtu mwenye mamlaka na kazi nyingi....kile kitendo pekee kilitosha kuonesha upendo wake kwa maafisa wake wanaomlinda na kumsaidia kazi......lakini bado tena amesafiri na kutumia siku nyingine nzima kwenda kuzika same......urais ni cheo kikuu sana ....ingetosha kumtuma mkuu wa mkoa au waziri wa utawala bora ..amuwakilishe kama kweli aliona ...inafaa.....

the president wants to win peoples emmotions at all time....that may not be possibe!!
Ila Magufuli mnamlaumu na kumsema vibaya. Bavicha mnaonekana kwa Mungu
 
Back
Top Bottom