JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 499
jamani nisaidieni mnikulu ni cheo gani??
Meneja wa IKulu anamanage shughuli za pale kama dinner zile au visherehesherehe anamanage administrative issues sio zote baadhi in general anamanage ikulu
jamani nisaidieni mnikulu ni cheo gani??
Wabongo hatuzingatii hilo...nusu karne Mzee anamaliza maendeleo 00% ...Time is a unique commodity Mr. President..................
Meneja wa IKulu anamanage shughuli za pale kama dinner zile au visherehesherehe anamanage administrative issues sio zote baadhi in general anamanage ikulu
pamoja na madhaifu aliyoyasema Semenya, kweli Kikwete ni Bigwa wa kuudhulia misiba, anajitahidi, sijui ni sifa ama ni ujiko.
yaani huyu anaona aibu tu kwenda ngomani lakini ingekuwa amri yake aaaah ..ngomanai kama kawaaa
Tatizo liko wapi kwani? Kwani hujaelewa ujumbe?Mbona umetoa habari kwa Michuzi bila ku acknowledge
je ataenda katika kila msiba? ataweza....yes me nadhani ni moja ya jukumu kubwa la rais....sio misiba tu kuwajulia hali wagonjwa pia katika hospitali mbalimbali
hahahahahaha, hilo nalo neno!ulitegemea nini kuwa na raisi mkwere
tutajuaje akienda chalinze huko kwao au bagamoyo? labda huwa anacheza sana tu!yaani huyu anaona aibu tu kwenda ngomani lakini ingekuwa amri yake aaaah ..ngomanai kama kawaaa
Naomba kuuliza maana ya neno MNIKULU. Regardless iwapo Hayati Kianda alikuwa manachama wa UWT au la, huyu alikuwa mnikulu, msimamizi mkuu wake, je kwenda kumzika is an issue real? Jamani tuwe waungwana tuhukumu kwa haki; Kwa hili Kikwete yupo sahihi.<b> kwenda kuzika same kwa huyu afisa usalama aliyefariki..
Nina wasiwasi kama unajua kweli maana ya Karne.... Jaribu kutofautisha: mlongo, mwongo na karne!.....Wabongo hatuzingatii hilo...nusu karne Mzee anamaliza maendeleo 00% ...
Kuna rafiki yangu ni bingwa wa hesabu na siku moja nilikuwa nae ktk porojo zake akaanza kukokotoa mambo yanavyofanyika pale ikulu na Mh wetu, akasema tufanye pale ikulu kuna masomo 5 na kama yeye angekuwa mwalimu angetowa marks hizi, sijui mimi na wewe tungetowa zipi?
1. Kuhudhuria misiba na mazishi - 86%
2.Safari za Nje -89%
3. Safari za Ndani- 61%
4.Kukaa ofisini- 15%
5. Msimamo katika vita ya ufisadi- 05%
tutajuaje akienda chalinze huko kwao au bagamoyo? labda huwa anacheza sana tu!