Heee!!!!!!!!!!!!
naisi we ni mtu wa 5 kupost hii picha hapa JF toka mwaka 2010...
Huyu ni mzungu na kinacho onekana cha pinki ni mashine yenyewe.
Kama ni Tz wangesema ni suruali ya mchina, sasa hiyo ni ya nani?
Asaaanteeeeeeee muheshimiwa mchangiaji uliyepitaaa.