Kazi ya hotelini.

Feb 11, 2011
71
6
Wanahitajika wadada wanaoweza kufanya kazi za hotel hapa dar es salaam au mikoani, sifa kuu ni angalau kidato cha 4 au amesoma hotel management, awe smart na mwenye muonekano mzuri, mwenye nia anitumie email mtumwamtumwa@yahoo.com.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom