Nafasi za kazi ya kuuza duka

ONILE ENTERPRISES

New Member
Dec 3, 2023
1
1
Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika:

Waombaji wawe na sifa zifuatazo:

1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23

2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne

3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto.

4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)

5.Wawe na mdhamini mmoja mwenye NIDA, na mdhamni atatembelewa nyumbani kwake. Na hivyo basi

4.Waombaji wawe wanatokea Goba, madale, mivumoni, Tegeta, kunduchi, sala sala, bunju, boko na maeneo jirani.

Taarifa za kazi:
A.Kazi ni ya kuuza duka la vinywaji,na huduma za kifedha,
B.Ofisi inatoa Sehemu ya kulala na kulipa gharama za chakula (ndio maana hatuhitaji mwenye watoto)
C.Ofisi zipo Madale & Mivumoni, Dar es Salaam
C.Mwenye sifa na uhitaji tafadhari tuma PICHA cheti chako cha kidato cha nne na PICHA yako ya passport
kwenda wasap namba 0754067174.

ANGALIZO:Usipige wala kutuma meseji (sms)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom